Uchaguzi 2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,358
Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.

Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali imejionyesha pamoja na kutumia wasanii haijasaidia kitu.

Mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aliingia Mwanza kwa kishindo kikubwa wiki iliyopita na kuvuta umati wa watu ambao wachunguzi wa mambo wanasema huenda ukawa umati mkubwa zaidi kutokea jijini Mwanza.

Wazazi kadhaa wamelaani hatua ya kutumiwa ujumbe mfupi na wakuu wa shule kadhaa wa maandishi unaowataka wasipeleke watoto shule kesho.

Wazazi hao wamesema hiyo ni kinyume na kanuni za Tume ya Uchaguzi na inaonekana waziwazi CCM imeamua kukanyaga sheria hizo.

Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.

Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
 
Pamoja nahilo

Saizi Mwigulu Nchemba, kazi alonayo ni kuwahi kila eneo ambalo Maguful anakuja au atapita ( wanakua wameshapanga)

Anakusanya watu weeeeeeeeee.... Ili Magu akija, ionekana wananchi wamemsimamisha magu njiani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo yanawezekana. Kule Arusha wanafunzi wa shule za sekondari walilazimishwa kwenda shuleni siku ya Jumamosi ili wakamshangilie waziri mkuu alipokuwa Arusha wanja wa relini.

Ama kweli hali imekuwa tete kwa ccm.
 
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
kwaiyo mkuu wa mkoa aache uzwazwa au sio
 
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
Watendaji wakata wamekesha kushurutisha watu wakampokee rais wanasahau kuwa anakuja kwa kofia ya ugombea urais watumishi wote wa umma na taasisi mbalimbali wameshurutishwa wafanyakazi waende kwenye mapokezi ya leo na kesho kwenye mkutano.
 
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
Kwanini shule zimesitishwa kufunguliwa?
 
Naona mmebabaishwa sana na mapokezi tu tena ya kistaarabu lakini yakiwa na nyomi kubwa ka watu, tofauti na lile kundi wahuni wachache waliofanya mkutano viwanja vya furahisha, sasa subirini j3 mwamba atakavyounguruma CCM kirumba
 
Uliza walioko mwanza Magu anakuwavrais wa kwanza kuongoza msimu mmoja tu..
 
Hacha ushamba! wanafunzi wameambiwa wasivae uniform Bali wavae nguo za nyumbani ili jumatatu asubuhi waende kirumba kwa magufuli
Form four ndyo wanaenda shule kwa ajili ya kufanya mitihani::::: mock
Naona mmebabaishwa sana na mapokezi tu tena ya kistaarabu lakini yakiwa na nyomi kubwa ka watu, tofauti na lile kundi wahuni wachache waliofanya mkutano viwanja vya furahisha, sasa subirini j3 mwamba atakavyounguruma CCM kirumba
 
uliza walioko mwanza Magu anakuwavrais wa kwanza kuongoza msimu mmoja tu..
Sio niulize Mwanza, mi naishi hapa hapa Mwanza......ukiangalia hili nyomi la leo kwenye mapokezi ni zaidi ya mara 3 ya ule upumbafu mliokuwa nao hapa juzi kati viwanja vya furahisha
 
Back
Top Bottom