Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.
Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali imejionyesha pamoja na kutumia wasanii haijasaidia kitu.
Mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aliingia Mwanza kwa kishindo kikubwa wiki iliyopita na kuvuta umati wa watu ambao wachunguzi wa mambo wanasema huenda ukawa umati mkubwa zaidi kutokea jijini Mwanza.
Wazazi kadhaa wamelaani hatua ya kutumiwa ujumbe mfupi na wakuu wa shule kadhaa wa maandishi unaowataka wasipeleke watoto shule kesho.
Wazazi hao wamesema hiyo ni kinyume na kanuni za Tume ya Uchaguzi na inaonekana waziwazi CCM imeamua kukanyaga sheria hizo.
Halafu watakuja kukwambia CCM inakubalika sana kanda ya ziwa, wakati hata watu wa kwenda kwenye mikutano yao hawana, hawa watu nina hakika waliiba kura 2015, Magufuli hakushinda ule uchaguzi kihalali, sasa ndio wanaanza kuumbuka.
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
Hayo yanawezekana. Kule Arusha wanafunzi wa shule za sekondari walilazimishwa kwenda shuleni siku ya Jumamosi ili wakamshangilie waziri mkuu alipokuwa Arusha wanja wa relini.
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
Halafu watakuja kukwambia CCM inakubalika sana kanda ya ziwa, wakati hata watu wa kwenda kwenye mikutano yao hawana, hawa watu nina hakika waliiba kura 2015, Magufuli hakushinda ule uchaguzi, sasa ndio wanaanza kuumbuka.
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
Watendaji wakata wamekesha kushurutisha watu wakampokee rais wanasahau kuwa anakuja kwa kofia ya ugombea urais watumishi wote wa umma na taasisi mbalimbali wameshurutishwa wafanyakazi waende kwenye mapokezi ya leo na kesho kwenye mkutano.
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
Naona mmebabaishwa sana na mapokezi tu tena ya kistaarabu lakini yakiwa na nyomi kubwa ka watu, tofauti na lile kundi wahuni wachache waliofanya mkutano viwanja vya furahisha, sasa subirini j3 mwamba atakavyounguruma CCM kirumba

Hacha ushamba! wanafunzi wameambiwa wasivae uniform Bali wavae nguo za nyumbani ili jumatatu asubuhi waende kirumba kwa magufuli
Form four ndyo wanaenda shule kwa ajili ya kufanya mitihani::::: mock
Naona mmebabaishwa sana na mapokezi tu tena ya kistaarabu lakini yakiwa na nyomi kubwa ka watu, tofauti na lile kundi wahuni wachache waliofanya mkutano viwanja vya furahisha, sasa subirini j3 mwamba atakavyounguruma CCM kirumba
Sio niulize Mwanza, mi naishi hapa hapa Mwanza......ukiangalia hili nyomi la leo kwenye mapokezi ni zaidi ya mara 3 ya ule upumbafu mliokuwa nao hapa juzi kati viwanja vya furahisha