Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
hisia kwenye kuvuka barabara kuhamia upande wa pili msafara unapokaribia?huko ni kuonyesha hisia? sio kuhatarisha usalama wa msafara? wewe nawe utakuwa ng##ombeWaache watu waonyeshe hisia zao kwa mpendwa wao. Kuwaita ndugu zako mang'ombe sio Sawa,lakini wewe utakuwa ng'ombe kasoro mkia.
KkkkkkNashauri baada ya kuzikwa huyu mwizi Assad akague mahesabu ya serikali kuanza na ile 1.5 trillion.
Hili jibu lazima ashushie na panadol huko alipoKama unapata maumivu makali hivi ya moyo kwa sababu ya mimi kuchangia nyuzi za huyo magufuli, si ufe tu mkuu!!
Kwani habari ya mjini kwa sasa ni nini? Mbona umejipa cheo kigumu hivi cha kunifuatilia? Na siendi kokote sasa! [emoji56]
Nikiona tu uzi wa kumhusu magufuli na ccm, nakuja faster! Sababu si unaifahamu mzee mzima ras jeff kapita ?
Mwanza, kwa wapiga Kura wake, ndo Jiji la pili kwa ukubwa na kuwa na watu wengi baada ya Dar lakini bila taarifa mpendwa wao ameagwa kwa muda mfupi sana kuliko Dodoma hata Zanzibar. Haya MaCCM yanatuletea utamaduni wa ajabu wa kuzunguka na maiti kama fisi na mzoga au wa kupeleka maiti kwa waombolezaji badala ya utamaduni wa Mwafrika uliozoeleka wa waombolezaji kwenda msibani nyumbani kwa Marehemu. Hata Waislam wa Zanzibar wameacha matakwa ya Dini yao ya kuheshimu sana maiti hata ya Kafiri na kuzika haraka sasa tunashuhudia wanaozunguka na maiti bila Barakoa wala Barkashia utambulisho pekee wa Muislam uliobaki baada ya kutupilia mbali Kanzu na Buibui kwa wanawake. Wangekuwa na akili hata ndogo tu, maiti ya Mkazi wa miaka 6 ingeagwa Dar siku moja na kupelekwa moja kwa moja Chato ili wapendwa wake wote Nchi nzimà waende wakamuage huko. MaCCM yangeshangaa watakaofika kumuaga!Mbona shughuli za kuaga mpendwa wetu hayati JPM leo CCM Kirumba, Zimesimamishwa ghafla na mwili unabebwa kurudishwa kwenye gari?
Imekua simanzi na vilio sasa kwa wananchi kupoteza familia kama yule mama pamoja na watoto wake wote wame pass awayUmefanya jambo jema sana. hawa wanaomchuuza mwenzetu angani, vichochoroni, darajani, na mitaani wanataka tufiwe wengi. Maana kule dar karibu kila kata kuna msiba wa kukanyagana pale uwanja wa uhuru. Watu wamebaki na vidonda vya kufiwa ndugu zao wa karibu kwa sababu ya wanayezurula naye kila kona. Azikwe ili tupumue na tuwe na amani maana kuna watoto walikuwa wanatoroka na kwenda kukanyagwa huko. Mbaya zaidi wanakataza kusafirisha maiti za ndugu zetu. Eti sharti wazikwe hukohuko Dar. kKwa nini?
Wamemzungusha zungusha mzee wa watu kama kumkomesha , sijui aliwakosea nini hawa wakina KasimuAisee! Bora hiyo kesho ifike mapema ili marehemu apumzike sasa! Maana chamoto amekiona. Siyo kwa kuzungushwa huko!!
MbaluMagu ana Watoto 7
Suzan, Edna, Mbali, Jesca, Joseph, Jorgan , wa saba otea wewe.
Iingie mara ngapi?nchi inaingia kwenye aibu
Mbalu nimemtaja, Ila nimekosea ti herufi nimeandika mbaliMbalu
Hahahahahahahaahahaha....uwiAliwapendelea sana kwenye suala la maendeleo (ukabila) so ni haki yao kuhuzunika, bt wachaga wanakaribia kumaliza stock yote ya tbl.
Nadhan kila familia ya kisukuma kuna mbalu jaman khaaaa...Mbalu
Kweli halafu kwenu yupo eeehh!maana kwa wakwe zangu yupo?hivi lina maana gani?Nadhan kila familia ya kisukuma kuna mbalu jaman khaaaa...
Wapo zaidi ya 6...kwakwel hata sielewi lina maana gani..yaan ni very famous nameKweli halafu kwenu yupo eeehh!maana kwa wakwe zangu yupo?hivi lina maana gani?
Dah hawajakorofishana na mkewe kweli Dah mkewe ana moyo sanaHujui? Yes..mdogo wa mkewe...na kuna dada alikua anaishi Nyakato qlizaa naye naskia ndo mwenye ghorofa fulan mujini
Wote mama huyu huyu?Magu ana Watoto 7
Suzan, Edna, Mbali, Jesca, Joseph, Jorgan , wa saba otea wewe.
Ndo shida ya mwanamke kumtegemea mumewe per se!Dah hawajakorofishana na mkewe kweli Dah mkewe ana moyo sana
Hatari ingekuwa familia nyingine kingenuka, halafu kule kwa Angela kairuki nasikia kuna DNA yakeNdo shida ya mwanamke kumtegemea mumewe per se!
Naskia... alikua anapenda mizigo balaa..pisi kaliHatari ingekuwa familia nyingine kingenuka, halafu kule kwa Angela kairuki nasikia kuna DNA yake
Noma atakuwa kaacha watoto wengi sio sabaNaskia... alikua anapenda mizigo balaa..pisi kali