Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
View attachment 1817303
Mama ameyumba. Kama wanapigwa Serikali iwakopeshe. Hiyo ni biashara huru kabisa. Inazingatia negotiation power
Hiyo amechelewa, iko tayari inafanyika kwa miaka mingi sasa. Bodaboda akiendesha mwaka mmoja, baada ya hapo pikipiki inakuwa ni yake. Nadhani aliempa huo ushauri Mama, sio mtu wa kitaa...View attachment 1817303
Mama ameyumba. Kama wanapigwa Serikali iwakopeshe. Hiyo ni biashara huru kabisa. Inazingatia negotiation power
usikute huyu ni mshauri wa mama 🤣🤣🤣Sasa kwani bodaboda siyo Watanzania?
Sasa si anaendeleza Sera za Hayati kuhusu wanyonge.View attachment 1817303
Mama ameyumba. Kama wanapigwa Serikali iwakopeshe. Hiyo ni biashara huru kabisa. Inazingatia negotiation power
Nilisema nini? Na badoView attachment 1817303
Mama ameyumba. Kama wanapigwa Serikali iwakopeshe. Hiyo ni biashara huru kabisa. Inazingatia negotiation power
Kama mungu wenu dikteta alivyokuwa ana matatizo ya mental healthKuna mental cases humu mitandaoni mkuu..save your energy for far better uses..huyo jamaa ni mgonjwa
Mama anajaribu kutafuta Kura za 2025!!alipoteleza zaidi ni pale alipo shusha faini kutoka 30000-10000 angewaona wanavyo vunja sheria za barabarani angebatilisha maneno yake haraka sana kwahili aliyemshauri kachemka lengo la faini sio kulipika ni kuonya
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Acha ubinafsi wewe. Hivi hali iliokuwa barabarani unaijua mkuu. Either gari Huna au wewe mwenzetu 30,000 ni ndogo sana kwamba hata kila wiki ukikatiwa mkeka mmoja sio hoja kwako.alipoteleza zaidi ni pale alipo shusha faini kutoka 30000-10000 angewaona wanavyo vunja sheria za barabarani angebatilisha maneno yake haraka sana kwahili aliyemshauri kachemka lengo la faini sio kulipika ni kuonya
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
angalau leo hujagusia Simba 🤣🤣Nilisema nini? Na bado
Maana unaanza kujitambuaangalau leo hujagusia Simba 🤣🤣
kama wewe ni dereva unaye jitambua huwezi kuongea pumba hivo unaendesha chombo cha moto unapigwa faini kwa wiki mara mbili acha hiyo kazi tafuta kazi nyingine heshimu sheria za barabarani kwa usalama wako na wa wengine maana hiyo kazi inahitaji uangalifu sana mwisho kabisa lengo la faini sio kulipika ni kuonya ili makosa yasijirudieAcha ubinafsi wewe. Hivi hali iliokuwa barabarani unaijua mkuu. Either gari Huna au wewe mwenzetu 30,000 ni ndogo sana kwamba hata kila wiki ukikatiwa mkeka mmoja sio hoja kwako.
Asingeshusha hizo machafuko yangeweza kutokea. Hali ilikua mbaya sana huku barabarani.
Nili mnya Bahi elo...😂Hahahaaa mnya kwihi gwe?
Yustino mshkaji wangu yule no wa kumuhurumia tu
Sio wote usituingize chaka mzee..Hiyo amechelewa, iko tayari inafanyika kwa miaka mingi sasa. Bodaboda akiendesha mwaka mmoja, baada ya hapo pikipiki inakuwa ni yake. Nadhani aliempa huo ushauri Mama, sio mtu wa kitaa...