Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

View attachment 1817303
Mama ameyumba. Kama wanapigwa Serikali iwakopeshe. Hiyo ni biashara huru kabisa. Inazingatia negotiation power
Hiyo amechelewa, iko tayari inafanyika kwa miaka mingi sasa. Bodaboda akiendesha mwaka mmoja, baada ya hapo pikipiki inakuwa ni yake. Nadhani aliempa huo ushauri Mama, sio mtu wa kitaa...
 
alipoteleza zaidi ni pale alipo shusha faini kutoka 30000-10000 angewaona wanavyo vunja sheria za barabarani angebatilisha maneno yake haraka sana kwahili aliyemshauri kachemka lengo la faini sio kulipika ni kuonya

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Mama anajaribu kutafuta Kura za 2025!!
 
alipoteleza zaidi ni pale alipo shusha faini kutoka 30000-10000 angewaona wanavyo vunja sheria za barabarani angebatilisha maneno yake haraka sana kwahili aliyemshauri kachemka lengo la faini sio kulipika ni kuonya

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Acha ubinafsi wewe. Hivi hali iliokuwa barabarani unaijua mkuu. Either gari Huna au wewe mwenzetu 30,000 ni ndogo sana kwamba hata kila wiki ukikatiwa mkeka mmoja sio hoja kwako.

Asingeshusha hizo machafuko yangeweza kutokea. Hali ilikua mbaya sana huku barabarani.
 
kama wewe ni dereva unaye jitambua huwezi kuongea pumba hivo unaendesha chombo cha moto unapigwa faini kwa wiki mara mbili acha hiyo kazi tafuta kazi nyingine heshimu sheria za barabarani kwa usalama wako na wa wengine maana hiyo kazi inahitaji uangalifu sana mwisho kabisa lengo la faini sio kulipika ni kuonya ili makosa yasijirudie

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo amechelewa, iko tayari inafanyika kwa miaka mingi sasa. Bodaboda akiendesha mwaka mmoja, baada ya hapo pikipiki inakuwa ni yake. Nadhani aliempa huo ushauri Mama, sio mtu wa kitaa...
Sio wote usituingize chaka mzee..
 
Ukiwa Rais hautoi Ushauri ?

Ukizingatia tatizo kubwa sana linalowakumba / litakalowakumba viongozi wote duniani ni hili tabaka la chini la have nots ambalo ndio kubwa na linazidi kukua kila siku..., mwisho wake ni hatari hata kwa usalama wa walionazo
 
Back
Top Bottom