Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

The late dictator is now rolling over and over in his grave.
 
Mimi naipinga Chadema lakini moderator wako fair
 
Mwanyika ni jembe lile. Mwanyika ana akili sana sijawahi kuona
Ila JPM alisema ni fisadi in fact alimuita Lissu msaliti sababu eti alikua anawasiliana na Mwanyika akimuomba nyaraka kadhaa!! Cha kushangaza yeye huyo huyo akamsafisha Mwanyika na kumpa ubunge huku LISSU ndio akimiminiwa risasi na kuitwa msaliti!! Hii nchi aliyetulaani sijui nani
 
Sema unakuwa chawa rasmi ....lkn umewahi kuwa mwana chadema??? Weka kadi yako hapa ya kidigital tuone .... Matanga mkubwa ww
Niweke taarifa zangu binafsi ili iweje? Kwa taarifa yako tu nikuwa Mimi nimekuwa zaidi ya Mwanachama wa cdm Kwa miaka 17, Nimeisapoti cdm kuanzia fedha, kutenga muda wangu mwingi Kwa shughuli mbalimbali za chama ila Kwa nilichokisikia kutoka Kwa mwenyekiti mbowe rasmi nahamia ccm
 
Hujawahi kuwa mwana ccm wewe acha unaa
 
Baaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.

Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Sawa, unataka tukusindikize kwa matarumbeta na vigodoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…