Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Wewe uliye hai unaringia uhai ambao haupo mikononi mwako. Vijana wa CHADEMA hamna adabu kabisa.
Siringii uhai na najua siku ikifika nitakufa ila yeye aliyekufa huku ameachia watu majonzi ya kila aina ya mauaji,watu kutekwa ndugu zao,kuuliwa na kutupwa baharini kwenye viroba, watu kutekwa yote ni laana itamtafuna.

Swali kuna siku kama yeye kiongozi mwenye jukumu la kuongoza nchi na kila mmoja kuishi alikemea au kutaka kufanywe uchunguzi wowote na wahusika wachukuliwe hatua kwa vitendo viovu?

Waliokuwa hawana adabu ni nyinyi mliokuwa mkibariki matukio hayo yawepo.
 
Siringii uhai na najua siku ikifika nitakufa ila yeye aliyekufa huku ameachia watu majonzi ya kila aina ya mauaji,watu kutekwa ndugu zao,kuuliwa na kutupwa baharini kwenye viroba, watu kutekwa yote ni laana itamtafuna.

Swali kuna siku alikemea au kutaka kufanywe uchunguzi wowote na wahusika wachukuliwe hatua kwa vitendo viovu?

Waliokuwa hawana ni nyinyi mliokuwa mkibariki matukio hayo yawepo.
Unapata nguvu wapi ya kumtukana mtu ambaye hayupo duniani? Bangi zinawapeleka kubaya.
 
Hujitambui wewe, mimi mwenyewe msukuma lakini siwezi kuwa chawa au mjinga anayefurahia mateso ya watz wengine kama nyie. Wasukuma ni watu wasioendekeza ukabila wa kijinga kama nyie sukuma gang wa burundi
Kamuulize Lowassa
 
Back
Top Bottom