Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mbowe anaendelea kusema "taifa letu halipaswi kuwa taifa la kuumuza kiongozi yoyote, mwanachama yoyote, mfuasi wowote wa chama chochote. taifa letu linapaswa kuwa taifa la watu walioungana, wanaoshikamana, wanaosimama katika misingi ya demokrasia."
Karibu tena na sana jukwaani, Mkuu. Ili kunogesha uzi huu, Tuweke Picha na video, Mkuu.
 
Nadhani muda wa Mbowe kupumzika mambo wa siasa umewadia. Katika viwanja vya furahisha bwana Mbowe anamtukana Hayati Magufuli waziwazi. Hii inaonesha kabisa ndiye aliyekuwa anawatuma watu wake kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Hizi siasa za chuki kabisa.
Hivi ni kwanini huyu mbowe anawachukia sana watu wa kanda ya ziwa? Au kwa sababu wameacha kwenda kwenye mkutano wake?
Kama kamtukana yule nduli ni sawa, ila kama kawatukana watu wa kanda ya ziwa hilo ni tatizo. Usichanganye vitu, Jiwe na watu wa kanda ya ziwa ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom