Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drone siku hizi hamna?View attachment 2490270
Kwa kiongozi mwenye akili timamu hawezi kutetea madawa ya kulevya mbele ya hadhara hii ni fedheha aisee inasikitisha sana
Tuna hasira nae Sana yule MZEE wenU WANGESE WAKUBWA NYIEJazba
Sasa hizo hasira utamfanya nini? Huoni unaandika upumbavu na utoto?Tuna hasira nae Sana yule MZEE wenU WANGESE WAKUBWA NYIE
Kwamba chadema ipo furahisha ina furahisha??Hali mbaya kwakweli hapa viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza.
Watu ni wachache hawajajitokeza hata kidogo. Doooh kiukweli CHADEMA inaelekea kufa kabisa!
View attachment 2490146
View attachment 2490147
View attachment 2490148
Sasa hizo hasira utamfanya nini? Huoni unaandika upumbavu na utoto
Sasa na we NYEGE ZA NINI KUMMAKO chadema inakuhusu nini **** weSasa hizo hasira utamfanya nini? Huoni unaandika upumbavu na utoto?
freeman mbowe tuliemzoea sio huyu wa leo nadhani kuna kitu hakipo sawa au uzee ama kalewa nyagi
Wasukuma wapo zaidi ya 20m unauwezo wa kuwashinda?Sasa na we NYEGE ZA NINI KUMMAKO chadema inakuhusu nini **** we
Leo Matumbo Ya Kuhara Yemewashika Halafu Maliwato Iko Mbaliccm leo posho shingapi
Karibu tena na sana jukwaani, Mkuu. Ili kunogesha uzi huu, Tuweke Picha na video, Mkuu.Mbowe anaendelea kusema "taifa letu halipaswi kuwa taifa la kuumuza kiongozi yoyote, mwanachama yoyote, mfuasi wowote wa chama chochote. taifa letu linapaswa kuwa taifa la watu walioungana, wanaoshikamana, wanaosimama katika misingi ya demokrasia."
Unadhani hao wasukuma 20m wote ni wapumbavu au sukuma gang?Wasukuma wapo zaidi ya 20m unauwezo wa kuwashinda?
Mbowe anamsifia mama Samia hapaLeteni mambo life-life mliopo uwanjani....
Na tutaendelea kushangilia kwa kifo chake.Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Wasukuma wote wana umoja. Unawajua wasukuma unawasikia?Unadhani hao wasukuma 20m wote ni wapumbavu au sukuma gang?
🤣🤣🤣🤣microphone testfreeman mbowe tuliemzoea sio huyu wa leo nadhani kuna kitu hakipo sawa au uzee ama kalewa nyagi
Laana ya magufuli iwaache waliommaliza iwapate wengine..?Mpaka watubu hao kenge ,laana ya Magufuli wanayo
Kama mandonga ama [emoji1]Hii topic(sredi) imeandikwa mapema sana kabla ya tukio lenyewe.
Kama kamtukana yule nduli ni sawa, ila kama kawatukana watu wa kanda ya ziwa hilo ni tatizo. Usichanganye vitu, Jiwe na watu wa kanda ya ziwa ni vitu viwili tofautiNadhani muda wa Mbowe kupumzika mambo wa siasa umewadia. Katika viwanja vya furahisha bwana Mbowe anamtukana Hayati Magufuli waziwazi. Hii inaonesha kabisa ndiye aliyekuwa anawatuma watu wake kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.
Hizi siasa za chuki kabisa.
Hivi ni kwanini huyu mbowe anawachukia sana watu wa kanda ya ziwa? Au kwa sababu wameacha kwenda kwenye mkutano wake?