Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Umekula bangi chooni wewe siyo bure. Unajihebia mema mwenyewe siyo?
Acha bangi mdogo wangu. Njoo kwenye real life
Ni hivi kuhusu mambo ya bangi hayo ni mawazo yako.

Umeuliza nimekujibu.

"Unajihebia" ni kwashili cha mtu aliyeelimika?

Sijajihesabia mema mwenyewe.

Kwahiyo wewe hufanyi mema??

Ukifanya mema au mabaya utalipwa.
 
Mbangi zikikutoka kichwani uje tujadiliane. Sasa hivi bangi zinaongea kichwani mwako. Tunawajua nyie vijana mkizipiga hizo bangi zenu chooni hamuambiliki na kuanza kutukana marehemu.
 
Mbangi zikikutoka kichwani uje tujadiliane. Sasa hivi bangi zinaongea kichwani mwako. Tunawajua nyie vijana mkizipiga hizo bangi zenu chooni hamuambiliki na kuanza kutukana marehemu.
Nijibu niliyokuuliza.

Toka ulipoanza kunikot nihoja gani uliyoileta ijadiliwe au nikujipa umuhimu wa kujiona mjuaji.

Kama umvuta bangi ni wewe sikila anaetofautiana mawazo na nyinyi ni mvuta bangi.

Kama huna chá kuongea unyamaze tu ndio suluhisho.
 
Nijibu haya machache ambayo hata mtoto wa chekechea anaweza.
 
Mimi Sina shida na CCM kutawala miaka 100, Tena Mimi mfuasi mzuri Sana wa Rais Samia na CCM ya Sasa

CCM niliwachukia baada ya kumuweka yule kichaa muuaji madarakani, natuamani hawatarudia Tena kosa
Mbona hakukuua wewe na bado tunaleta mwingine akuchinje kabisa! Mwendazake anachukiwa na wezi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wenye vyeti fake waliofukuwa kazini. Sasa wewe utakuwa miongoni mwao hao. Lakini Watz waliowengi wapenda maendeleo wanampenda sana tu Mwendazake.
 
Nijibu niliyokuuliza.

Toka ulipoanza kunikot nihoja gani uliyoileta ijadiliwe au nikujipa umuhimu wa kujiona mjuaji.

Kama umvuta bangi ni wewe sikila anaetofautiana mawazo na nyinyi ni mvuta bangi.

Kama huna chá kuongea unyamaze tu ndio suluhisho.
Nimesema kuwa subiri kwanza bangi ziishe kichwani nitakupatia muda wa kujadiliana. Kwa sasa hauko sana. Je, umevuta asubuhi au mchana?
 
Mbangi zikikutoka kichwani uje tujadiliane. Sasa hivi bangi zinaongea kichwani mwako. Tunawajua nyie vijana mkizipiga hizo bangi zenu chooni hamuambiliki na kuanza kutukana marehemu.
Umeumia sana huo ni MTITI kachuwe na barafu!!!!
 
Nijibu haya machache ambayo hata mtoto wa chekechea anaweza.
Nakusihi pumzika. Haupo sawa kichwani. Yaani ulipoanza kumtukana marehemu tu, niligundua bangi zimejaa kwenye kichwa chako. Hakuna mtu wa kawaida anaweza fanya hivyo.
 
Baaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.

Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Chadema ni kitu gani? Ni chama cha Siasa?
 
Back
Top Bottom