Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Chakaza , kumbe wewe mimi hunijui kabisa!. Mimi sio mtu wa propaganda kabisa!, mimi ni realist ambaye nasema vitu vya kweli tupu. Mimi ni an independent man, siwezi kurudi kwenye utumwa wa kutumwa na yeyote, hivyo siwezi kuwa msemaji wa taasisi yoyote!. Na hili mimelisema toka enzi ya JK, JPM na sasa Samia!.Sijui kwa nini baada ya kumtoa Shaka hawajakuweka wewe bali wakamuweka Mjema, unajua sana propaganda based on UONGO.
P