Mkuu
Molemo , asante sana, tutafuatilia live kutokea hapo Uwanja wa Furahisha, naamini besides live ya Molemo Media, pia kutakuwa na live za mainstream media ambazo zina national wide coverage kama TBC, ITV, Star TV, Channel Ten, na Azam TV.
I wish Chadema all the best, leo ni kweli macho na masikio ya Watanzania wote, hadi wale "jamaa zetu" ni viwanja vya Furahisha, huku wengi wakiwa very high expectations na ku anticipates kuwa Mbowe atakiwasha!, huku tunaojua ukweli tunajua hawezi kukiwasha kufuatia wema mkubwa Mama aliomtendea, licha ya kumfutia kesi na kumuachia huru, pia Mama amekuwa mwema zaidi kwa kum icapacitate kwa capacity building kuwazesha mambo yawe, ikiwemo funding some activities including vikao na trips ikiwemo overseas, hivyo haitegemewi shukrani ya punda, Mbowe ni muugwana na mtu wa shukrani hivyo leo Samia atashukuriwa.
P