Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kama unaamini mimi ni msaka fursa za uteuzi ila sina nyota tuu ya kuteuliwa, hivyo kweli msaka teuzi wa kumtaka Samia amteue angeweza kuandika hivi kumhusu Samia... https://www.jamiiforums.com/threads...-ya-kukoseshwa-tumvumilie-tumpe-muda.1883239/Hamna lolote, tunakujua ulivyo labda udanganye wasiokujua. Sio kwamba hutaki hizo nafasi, bali huna nyota nazo tu. Huhitaji hata kutupa sifa za kulazimishia ambazo hatuzioni, ziko wazi peupe.
P