Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Unawasikiliza hao.Bora mimi sina chama Mimi ninatamani katiba mpya kuwepo na mgombea binafsi.
 
Mbowe kama hajalewa basi yupo kwenye mission yakuigawa Chadema. Alichokizungumza sio cha kuzungumza baada ya miss Saba ya kufungiwa mikutano
Mbowe lazima achanganyikiwe, Chadema ilikuwa inabebwa na hoja za Slaa za ufisadi, Sasahivi mikutano ya Chadema itazidiwa na mikutano ya wapiga debe,tena wakiendelea kumtukana Magufuli ndio kabisa, mikutano itawadodea,akuna mtu aliyekuwa anapenda haki hakamchukia Magufuli,labda walanguzi wa madawa ya kulevya,wala rushwa na veti feki watu wa shortcut mafisadi ndio waliokuwa na bifu na Magufuli, lakini Machinga Mama nitirie,na watu wa chini walikuwa pamoja na Magufuli.
 
Nimepoteza bilioni, nimepoteza bilioni nonsense. Hili genge la walamba asali, haliwezi kuwa msaada kwa watanzania.
 
Jiandaeni kufungasha MAJIMBONI wenyewe WAMERUDI!!!
 
Laana ya magufuli iwaache waliommaliza iwapate wengine..?
Mapenzi ya mungu na yatimie /je hamna imani ya kuwa yote haya ni mapenzi ya muumba, mkimaanisha upenzi wake ulaanike?, basi kuweni makini msivuke mipaka, mkakufuru.
 
Unawasikiliza hao.Bora mimi sina chama Mimi ninatamani katiba mpya kuwepo na mgombea binafsi.
Yaani huwezi kuamini nimesafili nimevuka Mikoa minne kuja mwanza kuisapoti Chadema kumbe nao ni walamba asali tupu.
Yaani mbowe Leo hii ni wakuwaambia wana chadema tuiunge mkono CCM?

Sasa yanini kuwa mpinzani km mwenyekiti tayari amekubali mama anaupiga mwingi
 
Hamna kitu hapo. Kushinei
 
Leo wamejitahidi hapakuwa na kujadili watu.

Subiri wahamie kanda isiyofungamana na yule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…