Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CCM hawawezi kuruhusu mtu mkweli atoboe kamwe ukitoboa watakuzinga hadi uwe useless
 
Kwani wewe Mwanyika unamfahamu vizuri?
Ndio alitajwa kuwa ni fisadi wa Makinikia na alipewa faini ya billion 1-2!! Na alikiri kuhusika na akalipa hiyo fine. Sasa kivipi Tena msaliti akapewa ubunge? Usafi wa JPM ukwapi? Yaani alimuita Lissu msaliti sababu ya kuongea na Mwanyika why yeye aliyempa ubunge kabisa ndio asiitwe msaliti? Tena alimpa ubunge na pia akasemehe Yale matrillion ya Kodi tuliodai Acacia
 
Je polisi hawakuwa na taarifa zozote za intelijensia?
 
Hufahamu endelea kumfuatilia zaidi.
 
Leo nilikuwepo pale uwanja wa furahisha..tangu sugu anaimba nyimbo zake mpaka mbowe alipoanza kuhutubia...
Nimejifunza kwamba serikali iliingiwa na uoga usio na maana wa kizuia mikutano wakati Viongozi wetu wa upinzani hawana hoja shawishi..
 
Attachments

  • Screenshot_20230121-161446.jpg
    63.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230121-161455.jpg
    79.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…