Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mbowe kalamba asali
Mbowe kalamba asali
 
hawana sera jamani hii mikutano wataikimbia wenyewe make hakuna watu wa kwenda kupoteza muda huko
 
Hahaha. Hivi wewe ni timu mbowe au timu lema?

Nilikuambia dhalimu alikuwa anajua hakubaliki ndio maana aliishia kunajisi uchaguzi, na angethubutu kuheshimu uchaguzi wa 2020 matokeo ya kweli yakae hadharani, angekufa kwa fedheha zaidi.kuliko alivyokufa.

Rejea alivyopoteza furaha wakati wa kampeni kwa nyomi aliyokuwa nayo Lisu, na jinsi alivyokuwa anasema yeye ni rais baada ya uchaguzi. Alikuwa ni mtu asiye na furaha kabisa baada ya kuambiwa matokeo ya ukweli, hadi kufikia kusema wañaccm wasishangilie matokeo. Hadi anaelekea motoni ile machi 17 21, hakuwa na furaha tena, zaidi ya kuwa mtu aliyechanganyikiwa. Wasukuma naona wamewapuuza sukuma gang.
 
Unaandika insha yote hii. Nimekuuliza swali fupi tu. Wewe timu mbowe au timu lema?
 
Nakusihi pumzika. Haupo sawa kichwani. Yaani ulipoanza kumtukana marehemu tu, niligundua bangi zimejaa kwenye kichwa chako. Hakuna mtu wa kawaida anaweza fanya hivyo.
Kusema ni muuaji nikutukanwa???
 
Nimesema kuwa subiri kwanza bangi ziishe kichwani nitakupatia muda wa kujadiliana. Kwa sasa hauko sana. Je, umevuta asubuhi au mchana?
Hayo ya bangi kama umeyazoea ni wewe. Huna hoja hata moja ya kuweza kujadili usijipe umuhimu uliokuwa huna.
 
Mkutano wenu umedoda! Watu wana njaa hawana muda wa kusikiliza upuuzi wenu. Mpo kuwahadaa wananchi tu mkimaliza mnaenda kuwachora Ikulu na kulamba asali. Ntaanzisha kampeni ya pinga KONDOO, Mana wengine hapo ni kondoo wanapoteza muda wao badala ya kufanya kazi.
 
Utamlilia sana lakini ujane uko pale pale!
Endeleeni kupambana na Magufuli wakati yeye hayupo wala Sio mgombea tena,Mbowe kawekwa rocap na Samia tena kwa kesi ya ugaidi,shangaa lawama zinarudishwa kwa Magufuli kisa baada ya Mbowe kutolewa jela kaitwa lkuru kapewa chai.Chadema haiwezi kuinuka kwa kumsimanga Magufuli, Chadema itainuka kwa agenda na sera safi za kumtetea mwananchi.Kwanza huko vijijini ukisema vibaya Magufuli ndio unajichimbia kabuli kabisa.
 
Hayo ya bangi kama umeyazoea ni wewe. Huna hoja hata moja ya kuweza kujadili usijipe umuhimu uliokuwa huna.
Ona sasa. Nimekusihi utulize akili kwanza. Nina uhakika hapo ulipo ni bangi zinaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…