Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.

Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Akija Tundu sijuwi itakuwaje?
 
WanaJf,
Salaam!

Nimefuatilia kauli za Mwenyekiti wa CDM taifa Bw. Freeman Mbowe, sehemu moja amekiri kwamba chama chake kimejifunza mengi mazuri toka chama tawala CCM.

Hapa nimejiuliza mengi sana:-
(a). Iwapo CDM leo inayofikiriwa siku moja kurithi mikoba ya watangulizi CCM kinajinasibu kujifunza toka CCM JE hiki si ni CCM B?

(b). Mbowe kazungumza hayo kama kiongozi wa CDM au katoa maoni yake binafsi kama mtanzania?
 
Wadau ni wazi tumechoka siasa za mbowe kujifanya anawanyenyekea CCM.Ni wakati muafaka kupata mkuu mpya mwenye spidi.Mtu anashindwa kueleza malengo na Sera za chama anaanza siasa za uchawa!!Hizi habari za Samia asidhubutu kutwambia ata kama ametumwa ni haki yetu kufanya mikutano sio kwa fadhira za sa100 .Mbowe ukome kutuita mkutanoni na kutushushia Pumba.Waachie vijana kama
1.Msigwa
2.Heche
3.Lema
4.Tundu
Nawasilisha
Cc spika bunge la wananchii.

Mbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
 
Upumbavu wako ni kero kwa jamii!

Magufuli ni shetani na yuko kuzimu anaungua!
Ndio yuko kuzimu sawa, lakini niujinga zaidi kupambana na mtu ambaye yuko kuzimu,ndio maana tunamwona Mbowe na wafuasi wake ni wajinga maana wanapambana na watu wa kuzimu baada ya kupambana na walio hai.
 
Mbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
Pasco mayala aliwaambia hapa asubuhi tu
 
Wadau ni wazi tumechoka siasa za mbowe kujifanya anawanyenyekea CCM.Ni wakati muafaka kupata mkuu mpya mwenye spidi.Mtu anashindwa kueleza...
Pasco Mayala aliwambia hapa asubuhi mkashupaza shingo
 
Mboyi Uko Vizuri Mwamba Usibabaishwe na Wanaotaka uendelee kuumia unatoa hela zako kujenga chadema maridhiano ni Sahihi hata kama umelamba wewe lamba tu kwani nini?? wambie wakupe Bilicanas yetu uijenge tujirushe kama kawaida....Tumeimis Bilicanas...
 
Mkutano umefanikiwa kwa 58% tu. Hakuna la ajabu kabisa.
 
Nilikuambia dhalimu alikuwa anajua hakubaliki ndio maana aliishia kunajisi uchaguzi, na angethubutu kuheshimu uchaguzi wa 2020 matokeo ya kweli yakae hadharani, angekufa kwa fedheha zaidi.kuliko alivyokufa.

Rejea alivyopoteza furaha wakati wa kampeni kwa nyomi aliyokuwa nayo Lisu, na jinsi alivyokuwa anasema yeye ni rais baada ya uchaguzi. Alikuwa ni mtu asiye na furaha kabisa baada ya kuambiwa matokeo ya ukweli, hadi kufikia kusema wañaccm wasishangilie matokeo. Hadi anaelekea motoni ile machi 17 21, hakuwa na furaha tena, zaidi ya kuwa mtu aliyechanganyikiwa. Wasukuma naona wamewapuuza sukuma gang.
Kwa mahudhurio hayo leo pale Furahisha ni wazi kwamba CHADEMA bado haikubariki Mwanza. Mnajisumbua tu
 
Katiba ambayo unatakiwa kusubiri SAMIA atake au asitake.

Katiba haipatikani majukwaani.
Hili jambo la KATIBA tumeligusia wewe na mimi mahala fulani humu humu JF, tena leo hii hii, kumbe ulisha andika juu yake kwa namna hii, halafu kule kwingine unageuza upepo na kuwa kivingine?

Sasa sielewi nikuchukulie vipi mkuu, 'econo'.

'Anyways', nilisema tutakumbushana juu ya jambo hili mbele za safari, kumbe tayari nawe unaamini kama ninavyoamini mimi juu ya hadaa nzima anayofanya Samia!
 
Mbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
Na wewe leo unamsema hivi Mwenyekiti wako? Au siyo wewe?
 
Mbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kwa mahudhurio hayo leo pale Furahisha ni wazi kwamba CHADEMA bado haikubariki Mwanza. Mnajisumbua tu
Kwakweli mahudhurio hayakuwa mazuri licha ya propaganda zinazofanywa kuwaaminisha watu kwamba kulikuwa na nyomi ila kiukwelo hamna kitu pale.
 
Back
Top Bottom