Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Baba hajitambulishi mdogo wangu. Baba hutafutwa. Naendelea kuthibitisha kuwa wewe umezidiwa na bangi.Mimi baba yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba hajitambulishi mdogo wangu. Baba hutafutwa. Naendelea kuthibitisha kuwa wewe umezidiwa na bangi.Mimi baba yako!
Akija Tundu sijuwi itakuwaje?Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Wadau ni wazi tumechoka siasa za mbowe kujifanya anawanyenyekea CCM.Ni wakati muafaka kupata mkuu mpya mwenye spidi.Mtu anashindwa kueleza malengo na Sera za chama anaanza siasa za uchawa!!Hizi habari za Samia asidhubutu kutwambia ata kama ametumwa ni haki yetu kufanya mikutano sio kwa fadhira za sa100 .Mbowe ukome kutuita mkutanoni na kutushushia Pumba.Waachie vijana kama
1.Msigwa
2.Heche
3.Lema
4.Tundu
Nawasilisha
Cc spika bunge la wananchii.
Ndio yuko kuzimu sawa, lakini niujinga zaidi kupambana na mtu ambaye yuko kuzimu,ndio maana tunamwona Mbowe na wafuasi wake ni wajinga maana wanapambana na watu wa kuzimu baada ya kupambana na walio hai.Upumbavu wako ni kero kwa jamii!
Magufuli ni shetani na yuko kuzimu anaungua!
Migambo wanaruka na kukanyaganaMbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
Pasco mayala aliwaambia hapa asubuhi tuMbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
Pasco mayala aliwaambia hapa asubuhi tu
Pasco Mayala aliwambia hapa asubuhi mkashupaza shingoWadau ni wazi tumechoka siasa za mbowe kujifanya anawanyenyekea CCM.Ni wakati muafaka kupata mkuu mpya mwenye spidi.Mtu anashindwa kueleza...
Soma coments za mwanzo tu hasa coment ile aliyomquote CHAKAZAAlituambia nini, hebu mtag kwenye hili post yako kisha aone umenitag mimi uone kama atasogea.
Soma coments za mwanzo tu hasa coment ile aliyomquote CHAKAZA
Kwa mahudhurio hayo leo pale Furahisha ni wazi kwamba CHADEMA bado haikubariki Mwanza. Mnajisumbua tuNilikuambia dhalimu alikuwa anajua hakubaliki ndio maana aliishia kunajisi uchaguzi, na angethubutu kuheshimu uchaguzi wa 2020 matokeo ya kweli yakae hadharani, angekufa kwa fedheha zaidi.kuliko alivyokufa.
Rejea alivyopoteza furaha wakati wa kampeni kwa nyomi aliyokuwa nayo Lisu, na jinsi alivyokuwa anasema yeye ni rais baada ya uchaguzi. Alikuwa ni mtu asiye na furaha kabisa baada ya kuambiwa matokeo ya ukweli, hadi kufikia kusema wañaccm wasishangilie matokeo. Hadi anaelekea motoni ile machi 17 21, hakuwa na furaha tena, zaidi ya kuwa mtu aliyechanganyikiwa. Wasukuma naona wamewapuuza sukuma gang.
Hili jambo la KATIBA tumeligusia wewe na mimi mahala fulani humu humu JF, tena leo hii hii, kumbe ulisha andika juu yake kwa namna hii, halafu kule kwingine unageuza upepo na kuwa kivingine?Katiba ambayo unatakiwa kusubiri SAMIA atake au asitake.
Katiba haipatikani majukwaani.
Na wewe leo unamsema hivi Mwenyekiti wako? Au siyo wewe?Mbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
[emoji848][emoji848][emoji848]Mbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
Kwakweli mahudhurio hayakuwa mazuri licha ya propaganda zinazofanywa kuwaaminisha watu kwamba kulikuwa na nyomi ila kiukwelo hamna kitu pale.Kwa mahudhurio hayo leo pale Furahisha ni wazi kwamba CHADEMA bado haikubariki Mwanza. Mnajisumbua tu