Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mbowe hatakiwi tena kupewa nafasi ya kuongea majukwaani, aachwe aende ikulu akapewe kipaza sauti amsifie mama Samia. Muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti CDM umepita. Hizo siasa za kumpamba rais ziko huko CCM.
Tuliwaambieni nyinyi sema hamsikii
 
Watu smart wanapatikana chadema hata kama wapo wachache.

Mkutano wa leo 21/01/2022 umeonesha usmart wa kisiasa sana na jinsi ya kuendesha mkutano.

Najua kuna wale nyoka wa brazili wa kijani mnazi mmoja na viunga vyake wametumia nguvu nyingi kuchafua na mpaka wakaisha kutangaza mkutano bila wao kujijua.

Siwezi kushindwa kumpa shukrani Raisi wetu Mama samia kuonesha uwazi wa mariziano kwamba siasa sio uadui bali ni kurekebishana.

Wote tupo nchi mmoja tukipambana kuifikisha nchi yetu mbali.

Hotuba ya mweshimiwa mbowe imejaa hekima sana na ya kuigwa dunia nzima naomba tuzo ya nobel imfikie.

Watu tulijawa na chuki,mateso,asila na kushindwa kutema nyongo kipindi tulichopitia miaka 7.

ila yote mweshimiwa mbowe mwana wa israel (tanzania) katutuliza kwa amani kwa machungu tuliyopitia.

Watu wengi kupitia ccm walitaka kusikia matusi na masimango lakini wamekuta sivo ndivo.

Ccm imejishtukia kwamba bila chadema basi si kitu kwa wananchi.

siasa safi ya chadema inasikilizwa na watu wanaojielewa.

wengi mlitaka kukebei kwamba uwanja ujae ila umejaa watu walio makini mpaka kupitia mitandao wameangalia na kusoma.

Mungu bariki chadema na viongozi wake
IMG_0827.jpg

Msemo wangu: ukiona unasemwa sana ujue umemzidi mambo mengi sema anashindwa kujitofautisha.
 
Hello

Mungu hana zihaka, tuliosema Mbowe kalamba asali tulionekana tunamuonea haya sasa habari ndio hio, sijui Jela alipelekwa na hayati au kashadanganywa kuwa Siro na Diwani ndio walimpeleka Jela.

Noti zina nguvu sana acha maisha yaendelee, nakumba shairi la Eat More.

Typical of chief Koko and Chief Nanga.

Expire mind from Mbowe.
 
Analysis ya kina Imefanyika kuanzia Body language na hata utamshi wa maneno inaonekana mwenyekiti alikuwa hayupo sawa TIZAMA VIDEO HII
 
Watu smart wanapatikana chadema hata kama wapo wachache.

Mkutano wa leo 21/01/2022 umeonesha usmart wa kisiasa sana na jinsi ya kuendesha mkutano....

Msemo wangu: ukiona unasemwa sana ujue umemzidi mambo mengi sema anashindwa kujitofautisha.
Mimi sikujua kama kweli Mbowe amelewa ndio akapanda jukwani!

Aisee mpaka nilipoona clips zake huko twitter [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbowe kwisha habari! Imagine mtu kama Hilda Newton hajaposti kipande hata kimoja cha hotuba ya mbowe! Yani ni aibu tupu.
 
Sina huo mda, maana ananijua, ndio maana nakuambia mtag aone umenitag uone kama atasogea.
Tindo
Nadhani mgewea aiba ya Maneno kidògo juu ya hotuba ya ĺeo ya mwenyekiti Mbowe. Mngesubiri mfanye tafakuri ya kina ya siasa za majukwaani zinavyokuja namna nyingine baada ya miaka saba za kusitishwa kwake.

Wengi wenu wanasiasa mmepitia nyakati ngumu ngumu sana hasa ninyi wa upinzani mpaka badhi yenu mkaacha siasa na wengine kuwasaliti na kuunga juhudi. Umekuwa muda mgumu sana kwenu na mna mengi ya kuyasema katika majukwaa kiasi kwamba inawawia vigumu muanze na lipi.

Mkutano wa Leo abadani ulikuwa ni kuamsha na kupima nguvu yenu katika siasa za mikutano ya hadhara. Liikuwa ni jukwaa la kusemea hasa mambo makubwa mliopitia na kujaribu kuweka mambo "sawa" juu ya tuhuma za ulambishwaji asali na pia sehemu ya Mwenyekiti kama kiongozi wa hama kucheua nyongo ya kadhia aliyopitia mpaka kufikia mikutano ya hadhara kuruhusiwa tena. Nilidhani mgempa nafasi ya kusikiliza na kuyaweka katika vitendo aliysema mwenyekiti na si kumshambulia kiasi kwamba mnaona kwa kihotuba cha Leo eti amechoka na aachie nafasi kwa wengine!...yani kweli kwa hatuba ya leo mnafika amazing kubwa kama hili?

Lazima mjue kuogelea kuendana na mkono wa maji na si kupingana nao. Mueleweni mshindani wenu (ccm) na muone namna bora ya kushinda huku mkiheshimu nguvu alizonazo. Mnataka kuendelea na siasa za awamu zilizopita ambazo ziliwasambaratisha na mkaishia kuumizwa na kutendewa visivyo na hata kuporwa chaguzi na hamkuwa na kufanya?...ndio siasa hizo mnataka muendelee nazo awamu hii?

Tambueni miaka saba iezalisha wapiga kura wapya wengi tu ambao wanahitaji hoja na maridhiano.

Mbowe toka anaanza mchakato wa maridhiano miongoni mwenu Waachadema mlimpinga tena hadhaani na hata vikao vyake mlichukizwa navyo. Leo vimeleta matunda na mikutano ya hadhara kuruhusiwa mnamuona tena hafai lakini matokeo ya kazi zake mnaona zinfandel!

Jipeni muda. Mikutano ya hadhara minne hadi mitano itawapa picha ya kwa nn Mbowe amesema aliyosema leo. Na matunda yake yataonekana.
CHADEMA IMARA NI CCM Mathubuti!
 
Mimi sikujua kama kweli Mbowe amelewa ndio akapanda jukwani!

Aisee mpaka nilipoona clips zake huko twitter [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbowe kwisha habari! Imagine mtu kama Hilda Newton hajaposti kipande hata kimoja cha hotuba ya mbowe! Yani ni aibu tupu.

Ujui unatafuta sababu gani!

Mlianza na watu kujaa uwanjani,mkaja sijui polisi,sijui wamepita sokoni,sijui bei ya vyakura ili mradi tu upate cha kuongea.

Njoo ni kupe mirungi utafune hapa huku ukishushia na K-vant
 
Mimi sikujua kama kweli Mbowe amelewa ndio akapanda jukwani!

Aisee mpaka nilipoona clips zake huko twitter [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbowe kwisha habari! Imagine mtu kama Hilda Newton hajaposti kipande hata kimoja cha hotuba ya mbowe! Yani ni aibu tupu.

Ujui unatafuta sababu gani!

mlianza na watu kujaa uwanjani,mkaja sijui polisi,sijui wamepita sokoni,sijui bei ya vyakura ili mradi tu upate cha kuongea.

njoo ni kupe mirungi utafune hapa huku ukishushia na K-vant
 
tunaojua ukweli tunajua hawezi kukiwasha kufuatia wema mkubwa Mama aliomtendea, licha ya kumfutia kesi na kumuachia huru, pia Mama amekuwa mwema zaidi kwa kum icapacitate kwa capacity building kuwazesha mambo yawe, ikiwemo funding some activities including vikao na trips ikiwemo overseas, hivyo haitegemewi shukrani ya punda, Mbowe ni muugwana na mtu wa shukrani hivyo leo Samia atashukuriwa.
Una macho makali Sana mzee....
 
Mimi sikujua kama kweli Mbowe amelewa ndio akapanda jukwani!

Aisee mpaka nilipoona clips zake huko twitter [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbowe kwisha habari! Imagine mtu kama Hilda Newton hajaposti kipande hata kimoja cha hotuba ya mbowe! Yani ni aibu tupu.

Ujui unatafuta sababu gani!
mlianza na watu kujaa uwanjani,mkaja sijui polisi,sijui wamepita sokoni,sijui bei ya vyakura ili mradi tu upate cha kuongea.
njoo ni kupe mirungi utafune hapa huku ukishushia na K-vant
 
Analysis ya kina Imefanyika kuanzia Body language na hata utamshi wa maneno inaonekana mwenyekiti alikuwa hayupo sawa TIZAMA VIDEO HII
Tukisema chadema ni [emoji117][emoji90][emoji90]mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mfuasi wa mbowe au lissu
 
unawezaje ukaitwa chama cha upinzani hafu ukaanza kumsifia kumpa credit aliyeko madarakani maana yake umekubaliana na Aina yake ya utawala katika nyanja zote kiuchumi kiutamaduni na kisiasa

unawezaje wewe kiongozi mkuu unasifia utawala wa aliyekukaribisha Ikulu kwa siri kwenda kuomba haki yako kwa mjibu wa katiba

akina Msigwa wajue kuwa hela wanazozunguka nazo ni za mwenyekiti si za chama na hawajui kazipata kwa njia gani yaani nyie msiposoma mtazamo na falsafa ya nyie kuwa chawa wa Samia hakika mtapotea mwenyekiti kapewa mission maalumu tena ana full combat ya kuhakikisha Chadema anaiwekea zege tena la nondo za nguzo ya daraja na cement grade A isije ikainuka tena
 
Mkuu una roho mbaya sana yani ulikua unaombea Mbowe leo aitukane serikali na rais pale uwanjani ili akamatwe mpate maneno ya kusema? Hizo siasa tulishaachana nazo jitambuwe.
 
Back
Top Bottom