Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Chakaza , kumbe wewe mimi hunijui kabisa!. Mimi sio mtu wa propaganda kabisa!, mimi ni realist ambaye nasema vitu vya kweli tupu. Mimi ni an independent man, siwezi kurudi kwenye utumwa wa kutumwa na yeyote, hivyo siwezi kuwa msemaji wa taasisi yoyote!. Na hili mimelisema toka enzi ya JK, JPM na sasa Samia!.Sijui kwa nini baada ya kumtoa Shaka hawajakuweka wewe bali wakamuweka Mjema, unajua sana propaganda based on UONGO.
Vyema tujue agenda zao zitakuwa zipi..
Ukiondoa hali ya ugumu wa maisha inayoambatana na bidhaa hasa nafaka kupanda bei kila siku, Katiba Mpya inatakiwa kuwa ajenda ya kudumu.
Ni vyema hilo dai wakaliwekea time limit, ili kuzuia uwezekano wa kwenda kwenye uchaguzi wa S/M 2024 tukiwa na Katiba iliyopo, kama hawatafanikisha hilo, wajiandae kupigwa kwenye uchaguzi mkuu 2025 endapo watashiriki.
Mtoto wa nyoka ni ........... 1 Km from Kigoto, 5 Km from KapripointSijui kwa nini baada ya kumtoa Shaka hawajakuweka wewe bali wakamuweka Mjema, unajua sana propaganda based on UONGO.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
The early the better!
Mkuu Chakaza , kumbe wewe mimi hunijui kabisa!. Mimi sio mtu wa propaganda kabisa!, mimi ni realist ambaye nasema vitu vya kweli tupu. Mimi ni an independent man, siwezi kurudi kwenye utumwa wa kutumwa na yeyote, hivyo siwezi kuwa msemaji wa taasisi yoyote!. Na hili mimelisema toka enzi ya JK, JPM na sasa Samia!.
P
Bahati nzuri na mimi naweza kusema ni mhenga hapa JF. Tangu nijiunge 2012 nikisoma nyuzi zako zilikuwa za ki great thinker. Tangu utangaze nia nyuzi zako zimekuwa za kawaida sana, unafiki mwingi wa kujifanya mzalendo, umekuwa chawa indirect.Mkuu Chakaza , kumbe wewe mimi hunijui kabisa!. Mimi sio mtu wa propaganda kabisa!, mimi ni realist ambaye nasema vitu vya kweli tupu. Mimi ni an independent man, siwezi kurudi kwenye utumwa wa kutumwa na yeyote, hivyo siwezi kuwa msemaji wa taasisi yoyote!. Na hili mimelisema toka enzi ya JK, JPM na sasa Samia!.
P
We Molemo usituletee mambo ya kitoto kama uliyokua ukifanya huko nyuma! Unakimbilia kuanzisha sridi halafu unakula kona hutoi update yoyote acha kiherehere.Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka saba kinyume kabisa na Katiba kwa tamko la aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli.
Rais wa Sasa Samia Suluhu Hassan aliamua kuondoa zuio hilo haramu kutokana na Maridhiano ya Kitaifa yaliyoasisiwa na yeye Rais pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.
Freeman Mbowe atafanya uzinduzi huo wa mikutano kitaifa hapa Jijini Mwanza katika viwanja vya Furahisha.
Pia katika tukio jingine Chadema leo inaadhimisha miaka 30 tangu kusajiliwa kwake mnamo mwaka 1993
Kwa muda wa wiki nzima habari kubwa katika jiji la Mwanza na viunga vyake ni kuhusu Mkutano huu ambao unatarajiwa kuvutia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa jiji hili na mikoa jirani.
Molemo Media tunatarajia kuwaletea mubashara matukio yote muhimu yatakayoendelea hapa Jijini Mwanza kabla na wakati wa Mkutano huo mkubwa wa hadhara.
Karibuni Sana!
Mkuu Chakaza , kumbe wewe mimi hunijui kabisa!. Mimi sio mtu wa propaganda kabisa!, mimi ni realist ambaye nasema vitu vya kweli tupu. Mimi ni an independent man, siwezi kurudi kwenye utumwa wa kutumwa na yeyote, hivyo siwezi kuwa msemaji wa taasisi yoyote!. Na hili mimelisema toka enzi ya JK, JPM na sasa Samia!.
P
Duh...!. Umenikumbusha mbali!, yaliyotokea Kigoto ile 1976, usiyakumbushe, nahisi kama hell itasubiri!.Mtoto wa nyoka ni ........... 1 Km from Kigoto, 5 Km from Kapripoint
Inborn nature.
Taifa lipi analohutubia?Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka saba kinyume kabisa na Katiba kwa tamko la aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli.
Rais wa Sasa Samia Suluhu Hassan aliamua kuondoa zuio hilo haramu kutokana na Maridhiano ya Kitaifa yaliyoasisiwa na yeye Rais pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.
Freeman Mbowe atafanya uzinduzi huo wa mikutano kitaifa hapa Jijini Mwanza katika viwanja vya Furahisha.
Pia katika tukio jingine Chadema leo inaadhimisha miaka 30 tangu kusajiliwa kwake mnamo mwaka 1993
Kwa muda wa wiki nzima habari kubwa katika jiji la Mwanza na viunga vyake ni kuhusu Mkutano huu ambao unatarajiwa kuvutia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa jiji hili na mikoa jirani.
Molemo Media tunatarajia kuwaletea mubashara matukio yote muhimu yatakayoendelea hapa Jijini Mwanza kabla na wakati wa Mkutano huo mkubwa wa hadhara.
Karibuni Sana!
Mkuu Kipenda roho, kiukweli kabisa kuna baadhi ya Watanzania wanaoumizwa genuinely na mambo ya hovyo ya serikali yetu Bunge letu na Mahakama zetu!. Hivyo niligombea very genuinely kutaka kusaidia na hili nililiweka wazi kabisa kwanini nataka kwenda Bungeni na kwenda kufanya niniMkuu pascal mbona sasa uliutaka ubunge kupitia CCM ? Kuna mbunge wa CCM ambaye ni “independent man” kuna msaka ubunge wa CCM asiye propagandist? Tena muongo ? Sema tu you are a little bit smarter than your fellow maCCM because of your journalism profession and wide coverage of interviews you have had conducted with a lot of people across disciplines!
Unaumia sana JoKama mechi za Simba na Yanga 1980s mida hii tuko uwanjani mechi Saa 10 jioni
Maridhiano yanaumizaje?!!Unaumia sana Jo
Mkuu Chakaza , kumbe wewe mimi hunijui kabisa!. Mimi sio mtu wa propaganda kabisa!, mimi ni realist ambaye nasema vitu vya kweli tupu. Mimi ni an independent man, siwezi kurudi kwenye utumwa wa kutumwa na yeyote, hivyo siwezi kuwa msemaji wa taasisi yoyote!. Na hili mimelisema toka enzi ya JK, JPM na sasa Samia!.
P
Huko wanakusingizia tuu haupo! Wewe ni mhanga tuu wa mapigo ya kikatili na kidikteta ya awamu ya tano.Duh...!. Umenikumbusha mbali!, yaliyotokea Kigoto ile 1976, usiyakumbushe, nahisi kama hell itasubiri!.
Ila sio lazima kila mwana wa nyoka akawa nyoka, baadhi ya wana nyoka wengine sio nyoka ni mijusi tuu!.
P