Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Hizi ni shutuma ngumu sana kwa ccm na wanaccm wenyewe. 1. CCM kuwa na ufedhuli. 2. Wana ccm kuwa na roho mbaya kama mbwa mwitu.. Unataka kusema hata mh P. (platnum member) anaroho hiyo?.
 
SAFARI HII MPAKA UIZALIE MTOTO CHADEMA
 
ccm mbele kwa mbele,mliipenda wenyewe acha tuvimbe tupasuke ,mpaka tuisome namba ccm mbele kwa mbele.
 
Chadema ilisha kufaga kitaaambo! Hapa sshv wamefufua jina tu na lipo kimkakati tu! Inaonekana kuna vitu vinakwama kwa mabeberu bila kua na picha inyoonesha nchi ni ya vyama vingi na vipo active[emoji848] A! Mawazo yangu tu mabovu
Hata mimi nimeliona hilo
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inamtafuna
Inaonesha kabisa wewe ulikuwa mnufaikaji na awamu ya Tano acha na wengine wafaidi magu hakuwa Mungu Wala mzazi kwetu atatuachiaje laana laana isiyo na sababu haimpati mtu mtu muovu akifa katikati ya uovu anaondoka na uovu wake
 
Laana ya Magufuli na Sabaya haitawaacha salama enyi nyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…