Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Pale ni aliteleza tuu ulimi!. Usifanye kabisa mzaha na mambo ya kulamba asali, utamu wa asali unalegeza hadi ulimi unateleza!.Makamanda hatuipendi CCM maana ilishakuwa na moyo wa kifedhuli.
WanaCCM wana roho mbaya kama mbwa mwitu aliye ndani ya kundi la kondoo.
Leo hii wazazi wanashindwa hata kupeleka watoto shule kwa kukosa pesa ya sare za shule. Kaya zinashindwa hata kula milo miwili kwa siku.
Kundi moja tu la wanaCCM wanatafuna mali za umma kwa ujanjaujanja na ujuaji.
Alafu mwenyekiti wa chama chetu anakiri hadharani kuwa yeye yupo na hilo kundi la wanaCCM.
Makamanda tumeumia sana ila hatuna cha kufanya. Mbowe anaiona Chadema kama mali yake.
P