Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Duh...!. Umenikumbusha mbali!, yaliyotokea Kigoto ile 1976, usiyakumbushe, nahisi kama hell itasubiri!.
Ila sio lazima kila mwana wa nyoka akawa nyoka, baadhi ya wana nyoka wengine sio nyoka ni mijusi tuu!.
P
Ok mkuu ilikuwa balaa mitaa ile
 
"hadi wale jamaa zetu"[emoji3][emoji2][emoji1]
 
Fair enough Adv.Mayala, nchi yetu haihitaji fadhila za mtu, tunahitaji taasisi huru na imara zitakazotuletea utawala bora, nawashangaa sana ccm wanapomtukuza no 1,wakati anaongoza serikali ya ccm, wa kutukuzwa ni chama chao sio mtu!,katiba mpya ni muhimu mno,just imagine Adv.Mayala unaenda Arusha kufanya interview ya kuwa judge wa mahakama kuu kanda ya kaskazini!,na unashinda kihalali na kuwa judge, definitely maamuzi yako yatakuwa impartial na bila kuingiliwa na hii so called mhimili wenye mzizi mkubwa!all judges hapa nchini ni political appointees!!!
 

Hata huo Mkutano wenyewe ni fake, umelipiwa na Serikali siajabu kudanganya watu kuna demokrasia, so fake these people!
 
“The earlier” the better ! Improve your English
Read to understood, kama ungekua bora na kiingereza chako si ungeenda kufundisha kiingereza hapo Rwanda?

Rwanda hao wamechukua waalimu kutoka Zimbabwe, huu ndio upumbavu mwingi wa middle class yetu, lengo limeeleweka ila unatafuta vi error ili uonekane wewe ni bora zaidi
 
Mkuu Nkanini , hili la majaji wetu, niliwahi kuliandika, https://www.jamiiforums.com/threads...akimu-wenye-uwezo-mdogo-kubaini-haki.1887128/ Majaji walinimaindi!
P
 
Mwambie aangalie madudu yaliyo fanywa na alie kuwa mbunge wa Ccm akaenda kuwa mwenyekiti klabu moja ya mpira. Aliwakuta wakiwa wako vizuri amewavuruga kauza hadi mali za timu. Sasa wana kodisha costa za kuwapeleka wachezaji uwanjani. Aibuuuu..
 
Weka hata picha baasi
 
Hizo propaganda zako uchwara zilishafeli kitambo,zingepata mashiko kama ungewapelekea chawa wenzako huko kwenye makorido yenu ya lumumba
 
Upuuzi mtupu,kufanya mikutano kwa fadhila za mshindani wako halafu utegemee ushindani wa kisiasa-ni kama vile CCM ina I control Chadema na upinzani
 
Bora Mbowe ajilie tu vya Serikali maana Wananchama wa Chadema na Watanzania wote matahira. Kama kipindi kile watu wangekiamusha Mbowe asingefungwa wala tusingesubiri tangazo la SAMIA kuruhusu mikutano.

Kupitia Maandamano na kudai haki kwa nguvu, mikutano na chochote tunachokitaka kingepatikana.
 

Hamna lolote, tunakujua ulivyo labda udanganye wasiokujua. Sio kwamba hutaki hizo nafasi, bali huna nyota nazo tu. Huhitaji hata kutupa sifa za kulazimishia ambazo hatuzioni, ziko wazi peupe.
 
Hizo propaganda zako uchwara zilishafeli kitambo,zingepata mashiko kama ungewapelekea chawa wenzako huko kwenye makorido yenu ya lumumba
Kiukweli najivunia sana mimi kuwa ni mmoja wa wana jf wenye ngozi ngumu sana, kuweza kuwavumilia hawa vilaza wa type yako mliotamalaki humu JF!. Ni vilaza tuu ndio wanadhani Pasco ni propagandist, lakini wenye akili mzuri wanamjua vizuri Pasco wa ukweli, who is real is, and what he stands for!. The real Pasco ni realist.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…