Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mtaji wao wa kisiasa wanaona kuwa upo Kanda ya ziwa tu. Hawa wameshapewa hela ili suala la katiba mpya lisogezwe mbele mpaka miaka Tisa. Jamaa wanatafuta ulaji na wanaona labda wasukuma ndio jamii kubwa ambao hawajasoma so ni rahisi ama Ni cheap kuwakamata
 
Kweli kabisa !!
 
Tusubiri tuone !! Ni mapema mno kubashiri !!
 
Molemo Media tunakufuatilieni mwanzo mwisho , asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…