Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23] watu bado wanashindana kwa ’nyomi? Sikiliza
Sera sio kuangalia idadi ya watu....
 
Nilileta taarifa jana kuhusu kinachoendelea huko, Mimi nipo hapa na kusema ukweli hali ni Tete. Watu Hakuna kabisa. Nini kimetokea??
Picha nimepiga mwenyewe sasa hivi saa 9 kamili
View attachment 2490119
Una viashiria vyote vya kikahaba...

Kahaba akitokea kumpenda mwanaume aliyempa uroda kisha mwanaume huyo asipomtaka kahaba tena huanza visa na hata kuua.

Tulia wewe kahaba.
 
Picha za asubuhi unaleta sasahivi?. Leta video wakati msafara unaingia. Mwanza ipo na CHADEMA.

Mwanza asubuhi jua linawaka ivyo?? Hadi miavuli??. Inaonekana mwanza panafaa sana kwa miradi ya umeme wa jua kama kweli hapo ni asubuhi
 
Unateseka ukiwa wapi, wamefurahi sababu mlijifanya miungu watu au unadhani ni Raha kumuua Mawazo, saanane, na Lissu kisa siasa? Hata Mussolini au Hitler alipokufa watu walisherekea.

Na ipo hivi wasukuma wataipigia kura Chadema 2025 sababu matatizo ya mfumuko wa bei,mgao,umasikini hayajatatuliwa na CCM kwa miaka 60 Sasa so kiufupi hawana namna zaidi ya kuipigia Chadema.

Turudi hapa 2025 kufufua huu Uzi baada ya CCM kufutwa kabisa Kanda ya ziwa ambayo kabla ya siasa za ukabila 2015 ilikua ngome ya upinzani.
 
Lissu ni msaliti
 
Wenye akili ndogo kama zako, hiyo ni fursa kwao
 
Mimi sio mtaalam wa picha lakini hii picha inaonekana ni ya miaka ya nyuma.

Wewe endelea kuwa chawa wa Nikki wa pili ndiyo kazi unayoiweza.

Weka update ya mjengo wake wa ghorofa kama lishaisha.
Hata hizo t-shirt nyekundu za katiba mpya nazo za miaka ya nyuma?
 
Wenye akili ndogo kama zako, hiyo ni fursa kwao
Tukana tu ila ukweli ndio huo hutaki unaacha. Sasa kwa akili zako nani ataacha kuipigia Chadema kura kama mgombea ni Samia? Yaani wachague chama kinachowaletea mfumuko wa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…