Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Wakuu wakina joanah,evenly salt,richaabra n.k et mnachukia?
 
Mkuu, samahani kumbe imekukera nlivyokutongoza kwa swaga hizo. Sasa mbona umekubali mkuu?
 
tatizo IDs fake, kujua nani ME nani KE ni shida, so ili ku- simplify mambo ni kusema MKUU as long as hata mwanamke anaweza kuwa mkuu.
pia ni kwa ajili ya ku- equalize au kuweka usawa kwa wote maana humu kuna wazee, watoto, vijana, wengine humu wanachat na baba zao bila kujua, wengine na wakwe zao, wwngine na watoto wao, so mtu anaweza akaona profile picture ya kike naye akaita miss au baby kumbe ni dingi yake, you see
 
Mi napendekeza litumike "mkongwe au mhenga" badala ya mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mi napendekeza litumike "mkongwe au mhenga" badala ya mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mhhh πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜•
 
Tumekupata mkuu.
 
Bhc kuanzia Leo humu ndan wanawake wote mtaitwa vipusa na ukiwa mmoja itaitwa kipusa,,


Apo unaonaj????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…