Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ni la naniHahaaaaaaa sawa Kabisa nalo si Langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni la naniHahaaaaaaa sawa Kabisa nalo si Langu
tatizo IDs fake, kujua nani ME nani KE ni shida, so ili ku- simplify mambo ni kusema MKUU as long as hata mwanamke anaweza kuwa mkuu.Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.
Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
Kwa hiyo uitwe nani ili uridhike?Silipend tu.
Nimekumbuka malovee babyNiwahi seat tu
Umeadimika sana mkuu, vp kuna chura imekubana huko mtoni nini??Nimekumbuka malovee baby
Mi napendekeza litumike "mkongwe au mhenga" badala ya mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.
Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
No nilikuwa abroadUmeadimika sana mkuu, vp kuna chura imekubana huko mtoni nini??
Oooohw nahisi unanukia dola tu saiv!! Pole kwa safari na karibu tupoNo nilikuwa abroad
Dollars zipo hata nisiposafiriOooohw nahisi unanukia dola tu saiv!! Pole kwa safari na karibu tupo
Haya hongera sanaDollars zipo hata nisiposafiri
Tumekupata mkuu.Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.
Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
Hapana mkuu, ni nyama choma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, ID yako kwa kiswahili ni nani (sio nyama ya ng'ombe ...........)