Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sema nenoKwelooo
CountrywideKama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
CountrywideNikki wa pili ni yule DC ?
Kwa kweli, Suleiman na busara zote na hekima aliangukia puaAdam aliangukia pua
Samson alaiangukia pua
Daudi hivyo hivyo n.k
Tuishi nao kwa akili
Haaahaa π π€£Lamomy upo Nyonyo ???π€£π€£π€£
Atakuja hapa kutupa content zakeπβΊοΈπ€£πHahaha
Nani akipata pesa, 'me au 'ke? Au pesa haichagui jinsia?Kama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
Siku hizi hasikiki yuko bize na mambo ya Local governmentAtakuja hapa kutupa content zakeπβΊοΈπ€£π
KeNani akipata pesa, 'me au 'ke? Au pesa haichagui jinsia?
Maneno ya kuambiwa πKama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
Aliishia kutuandikia ni ubatili na kukimbiza upepo.. ila vijana wa farao wanasikia basi?Kwa kweli, Suleiman na busara zote na hekima aliangukia pua
Tangu enzi mwanaume amekuwa mwoga pale Mwanamke anapotaka kutawala. Sio wanaume wa sasa tu. It is across generation in the whole world.Miwanaume ya sasa hivi imekua mioga mioga tu sijui hata imekutwa na nini. Kila kitu inawasi wasi.ππ