Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Tatizo liko wapi mdogo ake dada angu, kila jambo ni mpangilio tu.Hiyo meza unayotingisha ina vinywaji vya gharama 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo liko wapi mdogo ake dada angu, kila jambo ni mpangilio tu.Hiyo meza unayotingisha ina vinywaji vya gharama 😹😹😹
Yaani haya mambo haya, Mwamba alikuwa hana pace ya kupiga lile tandamu 🤣🤣🤣Nani kazingua bababa junior?
Nimeisha achana nae, nimuache mara ngapi, baba yangu mpaka ameugua sukari kwa sababu ya stress zilizosababishwa Na mwanamke...wewe unadhani Mimi ni mpumbavu sioni, Na kwa taarifa yako Nina maendeleo kuliko marafiki zangu walioowa, yaani jamaa Wana maisha magumu hata kununua kiatu kipya ni changamoto eti anatunza familia🤑🤑....pesa yangu Mimi Haina mambo mengi Na hapa nipo najichanga mwakani nifungue carwash standard, Na garage itakayokuwa na compressor zisizopungua tatu kandokando mwa barabara ya shinyanga.......kuowa kwa zama hizi ni usengerema, zalisha mwanamke mpe matumizi Aishi anapojua tusifatane Na kumbikumbi..upo nyonyo,🤓🤓Akili akili akiliii.
Huna akili Wachana. Na mwanamkee
Manyanza nipumzishe kwanza tuataongea siku nyingine 😹😹Tatizo liko wapi mdogo ake dada angu, kila jambo ni mpangilio tu.
Mwanaume hana mtetezi katika hii dunia ni bora kujihami kabla ya hatari, maana yakikukuta huna pa kukimbilia wala mtu wa kukupigania.Wanaume wa sasa hivi wamekua waoga waoga tu sijui hata wamekutwa na nini. Kila kitu inawasi wasi.😂😂
WoteNani kazingua bababa junior?
Ndo huyo kumbe yule mtt sio wa niki na Demu alishaolewa.Nikki wa pili ni yule DC ?
Duuh waombewe haoWote
Mapya sasa hayaNdo huyo kumbe yule mtt sio wa niki na Demu alishaolewa.
Yani watu wanaacha kuongelea maisha yao unaweza kukuta wanalelewa na baba sio wao kabisaa ila wako busy kufatilia maisha ya watu… 😹😹😹Acheni kumbully huyu kaka, walishindwqna wakaachana,let it be history.
Usiogope Mdogo ake Dada angu , sema umefikiria kishetani Shetani aisee 🤣🤣🤣Manyanza nipumzishe kwanza tuataongea siku nyingine 😹😹
Shem za jioniWanaume wa sasa hivi wamekua waoga waoga tu sijui hata wamekutwa na nini. Kila kitu inawasi wasi.😂😂
Mhmm.!! 😹😹😹Ndo huyo kumbe yule mtt sio wa niki na Demu alishaolewa.
Nna ban leo niache kwanza 😹😹Usiogope Mdogo ake Dada angu , sema umefikiria kishetani Shetani aisee 🤣🤣🤣
Alimcheat na pia yule mtt kachek DNA sio wake na Demu kashaolewa na ada ya CPA alimlipia.Acheni kumbully huyu kaka, walishindwqna wakaachana,let it be history.
Hiyo mimba ni ya mume mpya.kwan saiv unaona picha picha za kumsifia.Mhmm.!! 😹😹😹
Ila wabongo mmenishinda
Wapo pamoja na mkewe ana mimba nyingine soon wanapata mtoto wa pili..
Ila wewe hizi habari umezitoa wapi? 😹😹😹Alimcheat na pia yule mtt kachek DNA sio wake na Demu kashaolewa na ada ya CPA alimlipia.