Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #61
Kwanza mkuu nikupongeze kwa kuwa umeweka akili na nguvu yako kwenye maendeleo zaidi.Nimeisha achana nae, nimuache mara ngapi, baba yangu mpaka ameugua sukari kwa sababu ya stress zilizosababishwa Na mwanamke...wewe unadhani Mimi ni mpumbavu sioni, Na kwa taarifa yako Nina maendeleo kuliko marafiki zangu walioowa, yaani jamaa Wana maisha magumu hata kununua kiatu kipya ni changamoto eti anatunza familia🤑🤑....pesa yangu Mimi Haina mambo mengi Na hapa nipo najichanga mwakani nifungue carwash standard, Na garage itakayokuwa na compressor zisizopungua tatu kandokando mwa barabara ya shinyanga.......kuowa kwa zama hizi ni usengerema, zalisha mwanamke mpe matumizi Aishi anapojua tusifatane Na kumbikumbi..upo nyonyo,🤓🤓
Pili nataka nikwambie pia sio wanawake wote ni wabaya ila wewe uma athirika na historia inayotokana na madhara aliyopata baba yako kutokana na Wanawake...
Usiogope. Jenga maisha kwanza then tafute kogoli upumzishw nafsi.
Nakuombea Insha Allah