Mimi kuna sehemu niliwahi kupanga nyumba Ile sehemu ni Mimi tu ndio nilikuwa sina mke, wale madogo wapangaji wenzangu waliokuwa wamepanga chuma kimoja kimoja, yaani kituko ni kwamba saa mbili kamili usiku wameishajifungia Na wake zao😬😬..kuamka kwao ni saa mbili, Mimi nalala saa sita usiku naamka saa kumi Na moja alfajiri, hivi unahisi kwa maisha hayo hao madogo kwanini wasikongoroke, kipindi kile nilikuwa nikiwaambia Nina miaka 30 walikuwa hawaamini , nilikuwa naonekana kama dogo wa miaka 25 au 24