Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #101
Wanatumika sana au vipato ndio havija kaa sawa?Mimi kuna sehemu niliwahi kupanga nyumba Ile sehemu ni Mimi tu ndio nilikuwa sina mke, wale madogo wapangaji wenzangu waliokuwa wamepanga chuma kimoja kimoja, yaani kituko ni kwamba saa mbili kamili usiku wameishajifungia Na wake zao😬😬..kuamka kwao ni saa mbili, Mimi nalala saa sita usiku naamka saa kumi Na moja alfajiri, hivi unahisi kwa maisha hayo hao madogo kwanini wasikongoroke, kipindi kile nilikuwa nikiwaambia Nina miaka 30 walikuwa hawaamini , nilikuwa naonekana kama dogo wa miaka 25 au 24
Ngono mkuu, ukiona wamejifungia hata ikinyesha mvua ya manyunyu ujue tayari😷🤣🤣Wanatumika sana au vipato ndio havija kaa sawa?
Wewe kweli ni appohTatizo letu hamjui akili ya mwanamke kwanza uwe shoo shoo unapiga kama kakuibia bilion au kama hutoonana na mwanamke tena pili mpe pesa sio nyingi hata kama kidogo mpe tu bila maelekzo yaan mpe baby chukua pesa ukatumie
Tatu kua na mvuto mbele za watu hii itamfanya awe na wivu wivu ndio mapenz ujanja huko umooo yaan hapo mambo yatakua humuuuu tu
HahahNgono mkuu, ukiona wamejifungia hata ikinyesha mvua ya manyunyu ujue tayari😷🤣🤣
Tunafatilia wakati yeye ndiye alikuwa anaposti? Mbona mnakuwa vigeu geu?Yani watu wanaacha kuongelea maisha yao unaweza kukuta wanalelewa na baba sio wao kabisaa ila wako busy kufatilia maisha ya watu… 😹😹😹
Kuna watu starehe yao ni ngono...😂Ngono mkuu, ukiona wamejifungia hata ikinyesha mvua ya manyunyu ujue tayari😷🤣🤣
Mtu yoyote mwenye njaa usiaamini maamuzi yake, subiri ashibe kwanza ndiyo utajua msimamo wake! Njaa hufanya baadhi ya watu kafanya maamuzi wasiyoyapenda kisa njaa! Tena ogopa sana neno nakupenda kutoka kwa mtu mwenye njaa!!Kama unadhani nasema uongo muulize Nikki wa Pili.
Ama nasema uongo ndugu zangu?
Umemaliza ukweli wote.Mtu yoyote mwenye njaa usiaamini maamuzi yake, subiri ashibe kwanza ndiyo utajua msimamo wake! Njaa hufanya baadhi ya watu kafanya maamuzi wasiyoyapenda kisa njaa! Tena ogopa sana neno nakupenda kutoka kwa mtu mwenye njaa!!
SahihiHuo ndiyo ukweli ndugu yangu ,ipo proved.
% kubwa ya wanawake wakipata pesa hawataki ndoa ,wanataka uhuru hivyo lazima vituko viwe vingi ili usalim amri.
Siku zote kichwa kitabaki kua kichwa hata kama ni kichwa cha mwendawazimu,na mkia utabaki kua mkia hata kama ni mkia wa pweza! Zingatia hilo Fake P! Falsafa!!Kwa sababu the so called vichwa zimekula u turn na speed ya 180. Woman on top for life sijui utabielewaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]