Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Lets live to the fullest for tomorrow might never be...
Same thing nilikuwa nawaza jana mtu ukishaingia kwenye familia unajisahau mno na watoto wanakuwa kipaumbele chako.
Mimi wa miaka 3 iliyopita na leo ni watu wawili tofauti kabisa nimechoka kiasi unaweza usinikumbuke nimejikita kwa watoto mno. nimewaza ngoja nianze kujikumbuka na mimi maisha ndio haya haya.
 
Thank youuuuuu.
Thiis is what am saying my friend.
Na sio kama tuna penda ila inatokea tu.
Ujue sometimes hata mwenza wako anaweza anza kukuchukulia poa kisa tu hii kitu,
 
Waaaa

Wenge
Ahahahah..hakuzidisha nying hata hivyo ni 30k tu.

Mwaka jana hivyo hivyo bank nilizidishiwa 10k, na nikawa nimeondoka kabisa, nilipokuja gundua mbele ya safari, niligeuza kuirudisha.

So hata huyu ndio maana nikamshtua
 
Niliwahi kutana na kero kama hiyo. Sasa natumia Passport kama kitambulisho, aseeeeee! Nikitoa tu passport hakuna swali na huduma ni chap chap.
 
Kujipenda ni muhimu sana, usipojipenda wewe nani atakupenda hakuna,

Nikachukue scrub kariakoo,

Udugu wangu cc@poor brain
Ahahah. Hii imekaa kimaandiko zaidi.
Kipimo cha kupendwa na wengine kimategemeana na upendo ulionao juu yako.
You set the benchmark first, others fall on that
 
🀣🀣Usiruke hapa,lazima tukukabe jichanganye vichochoroni
Huyu jamaa kanikomalia kweli toka uzi flan hivi niliposema mimi sipendi kuombwa ombwa pesa akanambia "we sema huna hela tu".
Nikasema ni kwel. Na tukakubaliana vizuri tu, saa hii kanigeuzia kibao πŸ˜‚
 
Hongera,
Ukiweza vuta hata kijana mmoja mpe ramani tupunguze wazee mtaani
 
Mkuu hapo kwenye Hilo swali akili ikamasta nikasema Sasa mkuu anatumia

Infinite Card (Black Card)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…