Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Ujumbe wa Kataa ndoa umeuleta Kiutaalamu kabisa.
 
Uko very good, umeglow sana, pochi limenona, Nuru hii ungeitoa wapi kufumania kila siku kushikana mashati, Nuru hii ungeitoa wapi kutukaniwa mpaka ndugu ndo mapenzi ya wapi Fanton Mahal
 
Kuishi ni jambo muhimu sana, kuna mtu akipata hela tu tayari kashakimbilia kununua kiwanja, sio jambo baya ni jema kabisa na mimi napongeza ila sasa isiwe ndio too much we mtu una viwanja 10 mjini kweli??? Kila harusi unataka uchangie we umekuwa nani ?? Kuna muda lazima uwe na roho ngumu na sio kwa ubaya bali ni kujizingatia

Jitoe out, nenda vacation mji fulani itembelee dunia na pooza roho kwa vitu vinavyokuburudisha maana afya ya akili ni mtaji mkubwa sana

Kuna mtu mwengine anaweza kushangaa unapomwambia nilienda vacation nchi fulani gharama nzima nilitumia milioni 3 anshangaa hela yote hiyo??

Hajui kuwa umetuliza akili na kupata nguvu mpya kuliko ungebaki
 
Watunzi wa riwaya mnazidi tu kuongezeka Jf!

Cashier wa bank hadi akakuzidishia cash kwa admariation, utani!

Umemwaga madini halisia, lazima wanaume tujipende na kujijali, hilo muhimu.
 
Watunzi wa riwaya mnazidi tu kuongezeka Jf!

Cashier wa bank hadi akakuzidishia cash kwa admariation, utani!

Umemwaga madini halisia, lazima wanaume tujipende na kujijali, hilo muhimu.
Hapana mkuu. Haikua kwaajil ya admiration ila ile stori ilitufanya kupiga sana stori huko ana type mara anagonga mihuri, yale mambo yao ambayo wao wamezoea. Sasa kilichotokea ni baada ya kuhesabu pesa zaid (kitu cha kawaida kabisaa) akazitoa straight kwenye mashine badala ya kupunguza. Na hii binafsi imanitokea mara nyingi tuu sio mara 1 wala 2.
So ilikua ni kulosa tu umakini.
Was not about admiration at all
 
Uko very good, umeglow sana, pochi limenona, Nuru hii ungeitoa wapi kufumania kila siku kushikana mashati, Nuru hii ungeitoa wapi kutukaniwa mpaka ndugu ndo mapenzi ya wapi Fanton Mahal
Ahahahajahahaha.
Huu wimbo ndio maana kila napousikia huwa nacheka sanaa
 
Uo mwanamke mdogo kiumri huwa wanatabia ya kupenda kushinda kupendeza na wanaume zao..
Hawezi kukuacha uchakae,kwa sababu anapenda mkiongozana muwe mnaendana kuanzia mavazi kwa maana ya utanashati
 
Uo mwanamke mdogo kiumri huwa wanatabia ya kupenda kushinda kupendeza na wanaume zao..
Hawezi kukuacha uchakae,kwa sababu anapenda mkiongozana muwe mnaendana kuanzia mavazi kwa maana ya utanashati
Inawezekana.maana mimi huyu kanizidi mwaka 1
 
Mkuu,kwahiyo tusioe siyo!!!,kwamaana tukioa ni ngumu sana kujikumbuka. Hata wewe umejikumbuka baada ya kutoka huko.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…