Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk
Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika historia kwa mitazamo kuliko tafiti