Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

Gatz,
Mjukuu wake Mzee Rupia, Joyce Rupia alinialika siku alipowaalika ndugu na jamaa kwenda kushuhudia maboresho aliyofanya kwenye kaburi la babu yake Chuo Cha CCM Kivukoni.
261307315_1071510626929648_5577839436861636151_n.jpg
Habari ya mzee Rupia kuzikwa Kivukoni sikuwa nikiifahamu. Nilifikiri alizikwa Kisutu.

Pengine kaka yetu Mohamed unaweza kutusaidia sababu zilizofikia akazikwa Kuvukoni?
 
Habari ya mzee Rupia kuzikwa Kivukoni sikuwa nikiifahamu. Nilifikiri alizikwa Kisutu.

Pengine kaka yetu Mohamed unaweza kutusaidia sababu zilizofikia akazikwa Kuvukoni?
Gag...
Kisutu ni makaburi ya Waislam.

Mzee Rupia alizikwa Kivukoni kwenye ardhi yake ambayo aliwapa TANU bure kujenga Chuo Cha Kivukoni.
 
Back
Top Bottom