Chillah,View attachment 2516322
View attachment 2516325
View attachment 2516326
View attachment 2516327
View attachment 2516328
View attachment 2516330
View attachment 2516332
Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk
Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika historia kwa mitazamo kuliko tafiti
Chillah,
Mwandishi ameandika sawasawa kabia wala hakuna tatizo ila hakuonyesha chanzo cha taarifa yake katoka wapi.
Mwandishi kapata historia hii kutoka kwangu na kutoka kwa James Brennan (“The Secret Lives of Dennis Phombeah: Decolonization, the Cold War, and African Political Intelligence, 1953–1974”).
Historia ya Denis Phombeah na TAA kaipata kutoka kwangu ambayo chanzo ni Nyaraka za Sykes.
Historia ya ukachero wa Phombeah nik kutoka hiyo paper hapo juu ya James Brennan.
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wakoChillah,

Jiwe...Acha uongo we mzee,kila jambo la tanu na taa wewe ndio source,kawaongopee vitukuu wako.
kijana kuwa na stahaAcha uongo we mzee,kila jambo la tanu na taa wewe ndio source,kawaongopee vitukuu wako.
Mdukuzi,Mohamed Said anadeal na wavaa kobazi tu
Nzuri hii Mzee Mohamed SaidMdukuzi,
Inakuwaje unakuwa namna hii?
Yvonne Chakachaka tulikaa hoteli moja Maputo mwaka wa 1990.
Wakati huo msichana mdogo sana.
Alikuwa anafanya Show Machava Stadium usiku.
Nilikwenda kumuona.
Hawa big stars huwezi kuwasogelea kirahisi wana ulinzi mkali labda yeye akuite mwenyewe.
Tukaja kukutana baada ya zaidi ya miaka 10 kupita.
Picha ndiyo hiyo hapo chini.
Nikamkumbusha show ya Machava Stadium na nikamwambia hakika niliipenda.
''Haya imekuwaje umekuwa mnene hivyo?''
Akacheka.
''Nimeolewa na nina watoto sasa.''
Yvonne Chakacha na MS
Smart...Nzuri hii Mzee Mohamed Said
Kwenu hakuna wazee?Acha uongo we mzee,kila jambo la tanu na taa wewe ndio source,kawaongopee vitukuu wako.
Chanzo chake ni wivu kwa kuwa hawa taki kuukubari ukweli uliopo na badala yake wana tumia nguvu kubwa kupotosha, kudhiaki, kutusi....Smart...
Kinachonishangaza ni huu uadui.
Najiuliza kwa nini huu uadui nini chanzo chake?
Matusi na kejeli nini sababu yake?
Mtu anaweza akaandika akanambia, ''Mzee Mohamed hapo hukusema kweli.''
Itaeleweka.
''Wewe mzee muongo...'' kadha wa kadha hakuna adabu inakuwa kama vike hapa ni mahali pa wahuni na vijana ambao kwao hawakufunzwa adabu.
Kitu gani kinawafanya kuwa hivi?
Smart...

Kidumu, na kigumu kutoka madarakani...
Huyo jamaa alikuwa jasusi kama Ali Tambwe ?Chillah,