mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Feb 24, 2023 #61 makedonia said: PUMBAVU Click to expand... Mwenyewe
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 12,620 Reaction score 12,109 Mar 1, 2023 #62 Mohamed Said said: Gatz, Mjukuu wake Mzee Rupia, Joyce Rupia alinialika siku alipowaalika ndugu na jamaa kwenda kushuhudia maboresho aliyofanya kwenye kaburi la babu yake Chuo Cha CCM Kivukoni. Click to expand... Habari ya mzee Rupia kuzikwa Kivukoni sikuwa nikiifahamu. Nilifikiri alizikwa Kisutu. Pengine kaka yetu Mohamed unaweza kutusaidia sababu zilizofikia akazikwa Kuvukoni?
Mohamed Said said: Gatz, Mjukuu wake Mzee Rupia, Joyce Rupia alinialika siku alipowaalika ndugu na jamaa kwenda kushuhudia maboresho aliyofanya kwenye kaburi la babu yake Chuo Cha CCM Kivukoni. Click to expand... Habari ya mzee Rupia kuzikwa Kivukoni sikuwa nikiifahamu. Nilifikiri alizikwa Kisutu. Pengine kaka yetu Mohamed unaweza kutusaidia sababu zilizofikia akazikwa Kuvukoni?
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Mar 1, 2023 #63 Gagnija said: Habari ya mzee Rupia kuzikwa Kivukoni sikuwa nikiifahamu. Nilifikiri alizikwa Kisutu. Pengine kaka yetu Mohamed unaweza kutusaidia sababu zilizofikia akazikwa Kuvukoni? Click to expand... Gag... Kisutu ni makaburi ya Waislam. Mzee Rupia alizikwa Kivukoni kwenye ardhi yake ambayo aliwapa TANU bure kujenga Chuo Cha Kivukoni.
Gagnija said: Habari ya mzee Rupia kuzikwa Kivukoni sikuwa nikiifahamu. Nilifikiri alizikwa Kisutu. Pengine kaka yetu Mohamed unaweza kutusaidia sababu zilizofikia akazikwa Kuvukoni? Click to expand... Gag... Kisutu ni makaburi ya Waislam. Mzee Rupia alizikwa Kivukoni kwenye ardhi yake ambayo aliwapa TANU bure kujenga Chuo Cha Kivukoni.