Mwasisi wa unafiki na uchawa nchi hii ni mchonga meno( baba john,baba maria na baba rosemary)

Mwasisi wa unafiki na uchawa nchi hii ni mchonga meno( baba john,baba maria na baba rosemary)

Aling'oa reli huko mikoa ya kusini, aliwabania maedeleo wahaya kwa kuona wana mwamko wa elimu, aliwachochoea makabila yote yawaone wachaga kama sio waaminfu kwa kuwa walikuwa na mwamko wa maendeleo ya biashara.
Alipenyeza ukatoliki wa vatikani katika mfumo wa kiserikali na kuwabana madhehebu ya kilutheri na waislamu.
Kwa ujumla alikuwa ni mshenzi na mpumbavu aliyetilia mkazo siasa za kuuabudu umasikini kama njia sahihi ya maisha.
 
Haipo na haitakuepo kashfa ya kumchafua mwalimu itakayofanikiwa. HAIPOO na HAITAKAA ITOKEE EVEEER..

Pambana na maisha yko braza, hapo hapo unapolalamikia umasikini kuna wenzako wametobolea hapo hapo..
 
Malimbukeni wakipandwa na mapepo mnafukua makaburi ya Babu zetu walioipigania nchi na watu wake na kuwachapa....
Hayawani wapumbafu walofeli kidini, kifikra,kimaisha na kimaadili wanaotafuta LAANA na kuhamasisha wengine kujiingiza kwenye LAANA hiyo chafu!! Stupid indeed
 
Acheni roho mbaya kwa Mzee wetu kwa nafasi yake alifanya mengi kwenye taifa hili wala haliitaji machawa kuelezea.
Chuki mnayoipandikiza kamwe haitofanikiwa,hao wazee wenu wakati huo badala walipiganie taifa wao ni kushinda vijiweni kunywa gahawa na kuowa wake wengi huku hawathamini elimu.
Pambaneni na hali zenu.
 
Ndio imeshakuwa ni
Waziri mkuu wa kwanza
Rais wa Jamhuri
Muasisi wa muungano
Muasisi wa Tanu baadae ccm
Baba wa Taifa la Tanganyika na Tanzania
Julius Kambarage Nyerere
Mkatoriki msomi na kiongozi pekee kuwahi kuiongoza Tanzania kwa mda mrefu zaidi

😄
Watu wanaweza kuibadili Historia na asiwe Waziri wala Rais wa Kwanza.
 
Back
Top Bottom