Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa!
Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa wanasheria! Alipwe fedha kulingana na mkataba. Mahali iondolewe! Pesa anayopewa mwanamke iwe Mali yake na sio wazazi! Tumeshuhudia Mahali wanaopewa wazazi lakini mwisho wa siku akiachwa anaanza kunyanyasika kwa kuwa Hana Mahali pa kukaa na familia yake.
Labda Ile mahari angepewa mwanamke mwenyewe bila Shaka Shaka angenunua hata kiwanja akajenga na akawa na kwake angesaidika zaidi! Wazazi wanachukua Mahali anaeenda kuteseka ni mwanamke! Mwanamke wa Sasa anaonekana kama chombo Cha starehe! Ndio maana wanafanyiwa vitendo vya unyanyasaji sana! Sheria ya ndoa ya kimila na ya kidini imeshindwa kumsaidia mwanamke!!