Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

Kama mhanga ni mwanamke basi oaneni kila mtu atafute mali zake ikitokea mnaachana kila mtu aondoke na alivyovitafuta,
 
Mali hutafuti mwenyewe ,wakati unapoenda kutafuta yeye anabaki analea watoto analea mimba unamlipa?
Kwa hiyo kaja kukuuzia mimba, very simple kuna wanawake anakubebea mimba akizaa unamlipa mnaachana
 
Hizi zilizopo tu wanaume wanaacha kuwaoa, mnataka ziongezwe nyingine?[emoji38][emoji38]

#MWANAUME_KATAA_NDOA_NI_UTAPELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…