Mwauwasa (Mwanza): Tunazalisha maji Lita Milioni 90 kwa siku, mahitaji ni Lita Milioni 160

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Kuna siku enzi ya JPM nilisikia mipango ya Wizara kuja na mfumo wa National Water Grid yaani mpango wa kutumia maji ya Maziwa na mito mikuu kusambaza maji kama ilivyo Umeme wa Tanesco.

Imepita miaka 3 sasa sijasikia Muendelezo wake, labda ilikuwa wazo la JPM hivyo amekufa nalo
 
Ziwa lipo hapo hapo mwanza mjini lakini maji ni ya mgao! Hii inashangaza sana.
 
Tatizo sera za maji ruhusu sekta binafsi izalishe na isambaze maji sambamba na ya umma na sio hii ya sasa sekta ya umma inakuwa na monopoly kwenye sekta hii na EWURA iregulate tu, kuamua limetushinda, mbona kwenye habari tuna TBC na mashirika au vituo binafsi vya watu hakuna monopoly na TCRA inaregulate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…