Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kuna siku enzi ya JPM nilisikia mipango ya Wizara kuja na mfumo wa National Water Grid yaani mpango wa kutumia maji ya Maziwa na mito mikuu kusambaza maji kama ilivyo Umeme wa Tanesco.Uafrika hasa utanzania ni laana.
Imepita miaka 3 sasa sijasikia Muendelezo wake, labda ilikuwa wazo la JPM hivyo amekufa nalo