Mwanamke ukiamua kumuoa, unaanza kumshape taratibu before hujamweka rasmi. Women wako elastic, ni rahisi kubadilisha mtazamo wao kama tu akiona unampenda. Atajitahidi kwa kias kikubwa ku give back the love because by nature wao wameumbiwa upendo. Ndo maana Bible inasema, mwanaume ampende mkewe, na mwanamke amheshim mumewe. Its because by nature wao wana upendo lakini heshima ni ya kufundishwa, na wanaume kuhusu heshima wako njema lakini upendo wanajifunza.
Thats why ukiangalia the same case ukimuelezea mwanamke atasimama upande wa huyo dada because anamuelewa, lakini sisi wanaume tunamuona huyo mams ni kisempere tu.
Bora ujifunze ujaribu kufanya ushindwe, kuliko usijaribu kabisa af ubaki unalaumu