Mwanaume silaha yake ni pesa na mwanamke silaha yake ni K....!![emoji16] mwalimu bana.Ko kutomtolea mahali ndo kunafanya apandishe presha,akae kitandani na kulia,aende kukaa jikoni usiku kununiana ugomvi mpaka kumnyima Mume wake unyumba?
Kama alipenda kutolewa mahali,angekataa kuzalishwa.Kwani alilazimishwa?[emoji848]
Labda ndivyo walivyo kubaliana kwenye swala la mahari.
Hii ina appply kwa wannaawake wa majuu tuu. Hawa wetu wee wape pesa tuu ata uwe na michepuko mia watakuvumilia tuuKila mtu anasema akae waongee. Shida sio kuongea, shida ni kwamba most men dont know anything about women na wanawake hivo hivo. Tumejikunyata na mtazamo wa jamii kua mwanaume ni kutoa matumizi na kuchakata, af mwanamke ni kulea watoto na mume. Kuna more than that. Ukijua kiundani wanawake wanataka nini ( because wanaendeshwa kwa hisia), kudeal nao sio tatizo saaana. Changamoto hazikosekani.
According to kitabu kimoja kilichojitahidi kuelezea wanawake wanataka nini, kilisema wanahitaji vitu vifuatavyo
C - closeness
O- openness
U- understanding
P- problem solving
L- loyalty
E- empathy.
I am sure mwanaume ukivifabya hivo kwa usahihi, asilimia 92% utakua na furaha ndani ya ndoa. Hyo 8% achana nayo, inaitwa kichaa chao. Hicho kinahitaji uvumilivu na roho ya chuma.
Mwanamke ukiamua kumuoa, unaanza kumshape taratibu before hujamweka rasmi. Women wako elastic, ni rahisi kubadilisha mtazamo wao kama tu akiona unampenda. Atajitahidi kwa kias kikubwa ku give back the love because by nature wao wameumbiwa upendo. Ndo maana Bible inasema, mwanaume ampende mkewe, na mwanamke amheshim mumewe. Its because by nature wao wana upendo lakini heshima ni ya kufundishwa, na wanaume kuhusu heshima wako njema lakini upendo wanajifunza.Hii ina appply kwa wannaawake wa majuu tuu. Hawa wetu wee wape pesa tuu ata uwe na michepuko mia watakuvumilia tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi simshauri aoe nani, lakini kwa hizo pigo za huo mshangazi wake... bora amkatie tu behewa..
Wangapi wana ndoa bora na hatujui. Hatuwezi kutatua tatizo kwa njia ile ile iliyotuingiza kwenye matatizo !Wangapi wamefunga ndoa na ndoa zao zipo montuary sasa hv.
Msijifiche kwenye kichaka cha kufunga ndoa
Ukute ndo sababu kuu ya wifi yetu kununanunaYote tisa kumi tatizo ni wewe....unamzalishaje mtoto wa watu watoto wawili wote hujamtolea mahari....hakika kilio chake ni majuto ayapatayo ... Anatamani nae aonekane mwanamke...ni sahihi unavyombeza.wanawake na sisi bhana
Hawa watu waone tuUkute ndo sababu kuu ya wifi yetu kununanuna
Hautaki wkt dini inaruhusuHata mimi yamenikuta haya ila mimi ni muislaam nilizama kwa mwanamke mwingine baada ya mkewang kuwa anazingua penzi lilivyonoga na huyu mwanamke mwengine ikabidi nimuoe kabisa ila sasa mkewangu wa kwanza hataki uke wenza
Umeongee point tupu mzee.Mwanamke ukiamua kumuoa, unaanza kumshape taratibu before hujamweka rasmi. Women wako elastic, ni rahisi kubadilisha mtazamo wao kama tu akiona unampenda. Atajitahidi kwa kias kikubwa ku give back the love because by nature wao wameumbiwa upendo. Ndo maana Bible inasema, mwanaume ampende mkewe, na mwanamke amheshim mumewe. Its because by nature wao wana upendo lakini heshima ni ya kufundishwa, na wanaume kuhusu heshima wako njema lakini upendo wanajifunza.
Thats why ukiangalia the same case ukimuelezea mwanamke atasimama upande wa huyo dada because anamuelewa, lakini sisi wanaume tunamuona huyo mams ni kisempere tu.
Bora ujifunze ujaribu kufanya ushindwe, kuliko usijaribu kabisa af ubaki unalaumu
Tuko Weng mkuuNahisi ndoa zimekuwa jehanamu zinazotembea siti ya mbele hata mimi yamenikuta haya ngoja nisikilize ushauri
Ni muislaamHautaki wkt dini inaruhusu
Au sio muslim?