Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

We unakaa na mtoto wa watu mamiaka hata kumtolea tu mahari umeshindwa maanake humuheshimu, yeye amekuwa incubator?

Kosa la jamaa liko wapi hapo sasa....!???

Alimlazimisha,,?? mwisho wa kukaa bila kutoa mahari ni mda gani.!?? Yeye binti ni robot hajui kukataa..!??

Decision zote pia mwanamke mwenzako alikuwa na uwezo wa kukataa kuishi bila kutolew mahari... Nini kosa la Jamaa sasa???
 
Unapigwaje na mwanamke mkuu!!
 
Kuumpa mchepuko mimba umechemka vibaya kingine bro huruma itakuponza narudia huruma itakuponza timua mke kwa muda baki na watoto uone itakuwaje, unaleta huruma bro... Eti namuhurumia mke na watoto
 
Muoe huyo unayemwita wife wakati sio wife,hasira zitaisha utakula neema za nchi.
 
Awali wa yote niwape pole vijana wenzangu kwa yote madhila ya mahusiano ama ndoa mnayopitia.

Pili nipenda kuwaambia miaka ya karibuni na hata miaka ya nyuma kumekuwa na nguvu na msukumo mkubwa sana wa watu kutotaka ndoa ama ndoa kuvunjia kwa sababu mbali mbali. Haya yoye ni maswala ya kiroho zaid ama tuseme ulimwengu wa kiroho. Aliye na imani kidogo atakuwa shuhuda wa haya.
Kunanguvu inawavaa wanawake na wanaume wanakuwa ni watu wasiotamanj ndoa kabisa ila wanatamani kuwa na watoto tu, kitu ambacho kiroho hakipo sawa.

Yote haya yanatatuliwa kiroho na kimwili.
Awali wa yote ndugu yangu kunamahala umeteleza hasa swala la kutotimiza wajibu wako wa kwenda kujitambulisha na kumaliza yote ikiwa n mpaka ndoa.
Pia inakufaa kwa imani yako ufike mahali utubu na umrudia Mungu wako na umshauri mke wako nae amrudie Mungu wake . Alafu kwa pamoja mnakaa kama familia mnaanza kushirikisha Mungu maisha yenu.
Baada ya hapo akishakuwa n mtu wa imana unamuuliza kistaarabu shida nini kilikuwa kinakufanya uwe vile. Ukipata majibu yatakupa mongozo bora.
Ila mweke chinj mumrudie Mungu wenu vita vya kiroho n vikubwa sana na mbaya havionekani ila madhila yake ndo kama hayo unakilakitu ila huna furaha na mwenza wako.
Simama mkumbuke Mungu wako. Kwa iman yako utapata ufumbuzi.
Usikate tamaa kama wale wanaosema ndoa mbaya na hawana ndoa. Usiwe wakala wa shetani
 
Ushauri bomba sana huu
 
Wengi wamejibu kiholela ila jibu na ushauri wako uko makini mtu ikitafakari kwa kina jibu lako ni kuntu
 
Mwanamke HAWEZI kuona ukindness wako. Wanawake ni wabinafsi sana na wanatarajia kutendewa mazuri na hawana shukrani wanaona ni stahiki yao.
 
Wanawake wa namna hiyo hua wazuri sana, anapenda kubembelezwa huyo...
 
makosa yako kwako!! kwanza umeishi na dada wa watu miaka yote hujamlipia mahari, halafu umeanza mcheat, hivi unadhani mwanamke ambae anakaa tuu nyumbani hizo taarifa hajazipata?
.
.
mwanamke ambae anakaa nyumbani unadhani anahizo jeuri za kukukazia? brother hayo machozi yatakurudia, usimwache huyo mwanamke, umekaa nae miaka yote umemzalisha, nani wa kumwoa sahivi?
.
.
ushauri wangu tafuta mbinu za kumfungulia hata biashara awe bzy na yeye na kazi zake, au kama anapenda urembo mfungulie saluni awe anatoka nae kujitafutia, wakati mwingine mtoe out hata kama hajazoea toka nae!! usimwache hata huko unapoenda hupajui, wanawake sasahivi hata madawa wanatumia wanase ndoa za watu, sasa wewe jichanganye!! fanya ibada sana na umwoe huyo mwanamke!!
 
Nothing you don't know about this budda
 
Kaa chini zungumza na mkeo hizo tabia zake anazoonyesha kuna vitu vinamsumbua mpaka anajikuta hajielewi.

Heri mkae kwa upendo muyamalize na huyo mkeo unaemfahamu kulko kwenda kuoa mchepuko utajuta maisha.
 
Umeongea ukweli mtupu, wanaume wengi siku hizi anapokuwa na mchepuko njee huwa haoni thamani ya mke aliyenaye ndani, anamdharay sana tena akiwa homeless ndo kabisaa, mwisho wa siku anaanza kumlaumu mara oh mjeuri na vijisababu kibao, najua kuna wanawake kwwli wana visirani lakini trust me, mwanaume ukuplay part yako huyo mwanamke atabadilika tu, ila ni klio kikubwa sana, mtu unakaa na mje miaka zaidi ya 5 unamzalisha watoto na unamuacha? Hata kama umwmwachia kila kitu lkn kumbuka naye pia ana mahitaji mengine muhimu coz hata akiwa kwao alikuwa akila na kushiba na kuvaa lakn alikufata ili mtengenezs maisha, wanaume mnaotaka kuwaacha wanawake mlowazalisha watoto zaidi ya mmoja jiulizeni hili swali je, nyie mnaweza kuoa mwanamke mwenye watoto wawili? Mnaweza? Pili umemzalisha huyo mwanamke na kumuacha ili aolewe na nani? Wanaume kama ngie ndo mnasababisha wanawake wadharaulike na kupoteza kabisa direction za maisha yao, na kuwafanya waonekane malaya kwa sababu ya tabia chafu za wanaume,
 
Daaaaah mambo mengne yaan anampigia mama ake sim afu wanaanza kulia wote khaaa
 
Madam Heaven Sent hicho kichaa cha ndoa ni ugonjwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…