Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
We unakaa na mtoto wa watu mamiaka hata kumtolea tu mahari umeshindwa maanake humuheshimu, yeye amekuwa incubator?
Kosa la jamaa liko wapi hapo sasa....!???
Alimlazimisha,,?? mwisho wa kukaa bila kutoa mahari ni mda gani.!?? Yeye binti ni robot hajui kukataa..!??
Decision zote pia mwanamke mwenzako alikuwa na uwezo wa kukataa kuishi bila kutolew mahari... Nini kosa la Jamaa sasa???