Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Mnajaribu kutetea lakini mwanamke ndio anaweza kumshawish mwanaume amtolee mahali wala sio kisirani kisichokuwa na msingi.... Na hadi nafikia hatua niliyo nayo sasa alichangia na nimekuwa nikigombana na wazee wangu linapokuja suala la mahari maana nawaza kuwa nikitoa mahali ndio itakuwa permanent union katika mateso haya! Ninayopitia na huyu mwanamke, kusema kweli ni changamoto kubwa sana nataman hata Mimi nihesabike kama ninamke wa ndoa ila kwa maisha haya nimekuwa mtumwa, kama maisha ya kawaida ninayo so sishindwi kutoa mahari
 
Basi Jua Yeye ashajua Una Mahusiano Nje. Na Ameshafuatilia Mawasiliano Yenu. Mtu hawezi lia Bila Sababu . Tatizo ni Wee
Sio kwel nadhan ndio maisha yake yaani she is too childish ikitokea akakwazika anampigia mama yake wanaanza kulia kweny sim yaani wananikera hadi nataman nimwambie akalilie nje ila huwa nahofia jamii itanichukulia kama Mimi ndio mkorofi but ukifuatilia chanzo unagundua kuwa alikuwa amekosea yy ila ukimwelekeza tayari anaamini ameonewa
 
Mwanamke Akishazaa Ndugu yangu ninKuwa naye Makini Sana. Huwa Wana inferiority complex

Wanahisi wameshamalizwa Urembo wao wote kwa Kuzaa kwao. Unaweza Mwambia Kitu cha Kawaida Aka mind kwa Kujihisi Kwamba Umeshawaona Wengine warembo zaidi yake kisa Keshazaa
 
Yote tisa kumi tatizo ni wewe....unamzalishaje mtoto wa watu watoto wawili wote hujamtolea mahari....hakika kilio chake ni majuto ayapatayo ... Anatamani nae aonekane mwanamke...ni sahihi unavyombeza.wanawake na sisi bhana
Wanaume wanapenda sana kujiliza liza humu yy makosa yake hayaoni na hayasemi...

We unakaa na mtoto wa watu mamiaka hata kumtolea tu mahari umeshindwa maanake humuheshimu, yeye amekuwa incubator?[emoji57][emoji57]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pole Sana, yaani unayoyapitia sawa na mimi tu, ilatofauti ni kwamba mchepuko wangu sio mjamzito
 
Mkuu mateso yoyote unayopitia mbali na kutafuta pesa, unajitakia au unapenda mwenyewe..

Na ukiishi kwa kuwaza "jamii itanionaje* bro you will live a miserable life.
No one give a fuc**k about you, even your wife..
 
Ulikula faida kabla ya hasara. Kosa la kwanza ni kukubali kuishi na mwanamke bila kufunga ndoa. Usikute ndiyo maana naye anaona bora liende. Suala la kusema unamuonea huruma atateseka si kweli mwisho wa siku maisha yataendelea tu. Hatima ya mtu ipo mikononi mwa M/ Mungu. Umeenda mbali zaidi umeongeza tatizo jingine tena kubwa zaidi kwa kumpa mtu mwingine mimba, jitahidi uwe makini.
 
ushauri wa kishetani, baki hapo hapo usimuoe huyo mchepuko.. ukimuoa ndio utajua kila aina ya rangi, hapo anajidai ku care sababu anajua udhaifu wako na kitu unachokosa nyumbani kwako especially kama ulimuambia kuhusu madhila yako....na huyo unaeishi nae usimuoe pia, kama anaweza kufanya yote hayo hujamuoa je ukimuoa si ndio itakua balaa??...situation yako simple, kama unapata mbususu na ma care pamoja unaona watoto wako, baki hivyo hivyo..LOL..lakini kwa nini analia jikoni au kashajua anaibiwa??
 
Achana na mambo ya haramu mtoto wa watu umemzalisha maziwa yashalala kama ndala hutaki kumuoa ndo mgogoro ulipo then unaenda nje kuzalisha wa pili Sasa jifanye nunda kao huko nje kama hautokuja kurogwa
 

Dah hapa nimevuta picha nikacheka na kusikitika at the same time..

Pole sana kaka
 
Ambacho sijasema ni kuwa nilikutana nae akiwa na mtoto, na kibaya nilijua hilo kwa baadae sana kwa hiyo hajazalia kwangu
 
Umemaliza kila kitu; wanasiasa wanasema umenifilisi maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…