Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Sasa hapo tukushauri nini mzee, yaani unamuomea huruma mtu asiyejionea huruma wala kukuonea wewe huruma!?
Mzee afya yako ni kitu cha thamani kuliko chochote, mtu anakuvuruga muweke kando, watoto itajulikama hapo hapo, sasa kama hutaki watoto walelewe tofauti, tayar huyo ana mimba si ndio yale yale, kuna sehemu mwanaume anaonesha yeye ni MWANAUME.
 
Mnajaribu kutetea lakini mwanamke ndio anaweza kumshawish mwanaume amtolee mahali wala sio kisirani kisichokuwa na msingi.... Na hadi nafikia hatua niliyo nayo sasa alichangia na nimekuwa nikigombana na wazee wangu linapokuja suala la mahari maana nawaza kuwa nikitoa mahali ndio itakuwa permanent union katika mateso haya! Ninayopitia na huyu mwanamke, kusema kweli ni changamoto kubwa sana nataman hata Mimi nihesabike kama ninamke wa ndoa ila kwa maisha haya nimekuwa mtumwa, kama maisha ya kawaida ninayo so sishindwi kutoa mahari

Hatumtetei; we speak from a woman's perspective

Ushauri tu; ukiona hujamchunguza mwenza wako kiasi cha kujiridhisha; msivutane kuishi kiholela kisa ngono tamu. Wanawake tunapohamia kwenu huwa tunakuja na wazo kuu la kuanzisha familia, wakati nyie ndiyo mnatumia muda huo kutuchunguza. Uchunguzi wako unakamilika tayari mmeshazaa watoto kadhaa na unaona hakufai; utamfukuza huyo mwanamke? Kwa hiyo tupunguze kuishi kiholela, na kuchunguzana tufanye tukiwa huku nje
 
Ana mtoto ambae sio wako?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndio nilivyokutana nae, nimezaa nae watoto but after nikaja kugundua ana mtoto mwingine mkubwa tu kiufupi napitia mengi sijataka kuyaweka hapa ila linapokuja suala la Mimi kulaumiwa kumzalisha inabidi niweke sawa kuwa huyu mwanamke kwanza alinidanganya umri wake kipindi tunakutana imagine Mimi Nina 33 years ila yy ana 38 years na mtoto wake wa kwanza yupo chuo sasa na baada ya Mimi kugundua hayo ilibidi akubali japo mwanzo alikuwa hataki kabisa kusema ila nilishtukia baada ya kuona mshono wa operation akadai alipata ajali ila baada ya kukazia na baadhi ya ndugu zake kuniambia ndio akakubali na baada ya kutambua hilo pia huwa ananiomba hela amtumie mwanae na ninampa imagine how kindly iam!
 
Sio kwel nadhan ndio maisha yake yaani she is too childish ikitokea akakwazika anampigia mama yake wanaanza kulia kweny sim yaani wananikera hadi nataman nimwambie akalilie nje ila huwa nahofia jamii itanichukulia kama Mimi ndio mkorofi but ukifuatilia chanzo unagundua kuwa alikuwa amekosea yy ila ukimwelekeza tayari anaamini ameonewa
Wewe si uhame hapo
 
Yaan nawaza sanaa mwanaume unasema kuwa watoto ndo wanakufanya usifanye maamuz kuhusu uhusiano wako....tumeshafika mahali inabid tufanye maamuz magumu regardless yatawaumiza ili tupate furaha ya moyo...bora hata ukaenda kupanga ila ukamwachia hao watt ila ukawa unaendelea kuwatunza....ila kwa upande wangu kuna kijana anahamasisha kutokuoa ....namwelewa sanaa
 
Ndio nilivyokutana nae, nimezaa nae watoto but after nikaja kugundua ana mtoto mwingine mkubwa tu kiufupi napitia mengi sijataka kuyaweka hapa ila linapokuja suala la Mimi kulaumiwa kumzalisha inabidi niweke sawa kuwa huyu mwanamke kwanza alinidanganya umri wake kipindi tunakutana imagine Mimi Nina 33 years ila yy ana 38 years na mtoto wake wa kwanza yupo chuo sasa na huwa ananiomba hela amtumie mwanae na ninamla imagine how kindly iam!

Boss pole sana.
Hakuna kitu kibaya sana kama kudanganya khs kuwa na mtoto kabla.

Lakini wanawake huwa wanahisi kama ni red flag kwa wao kusema mwanzoni. Maana anapalilia ndoa

Matokeo yake kama huyo wako anaona ndoa hakuna pamoja na kudanganya na kuzaa kashazaa sasa anabaki kuwa na tatizo la kisaikolojia tu!!
 
Yote tisa kumi tatizo ni wewe....unamzalishaje mtoto wa watu watoto wawili wote hujamtolea mahari....hakika kilio chake ni majuto ayapatayo ... Anatamani nae aonekane mwanamke...ni sahihi unavyombeza.wanawake na sisi bhana
Mkuu, mahari sio tabia.
Kama mwanamke anatabia mbaya hii haijakishi kama umemtolea mahari ama lahh...
Na kuzalishwa sio tiketi ya kuolewa (hata kama unatabia mbaya)
 
Una uwezo na huoi
Leo unawaza kuoa mwingine
Na bado unajiuliza mkeo kwa nini ananuna
Nyani haoni kundule

Oa uone km hicho kisirani kitakuwepo

Mtu unajitoa af mwisho mwanaume haoni umuhimu.,mtakuja kuuwawa hivihivi
 
Hata ukimuoa mchepuko nae atakuwa hivyo hivyo tu mapenzi matam unayoona ni kwa vile ni mapya na ni ya wizi, pole lakini
Leo nakupinga mkuu, tatizo wanawake wa skuizi wanapenda kushindana na waume zao, na wengi wanapo amka wanaanza kuwasha sim badala ya kuwasha moto ili wamuandalie mume chochote kabla ya kwenda kazini.
 
Wanaume ndio maana tunakufa mapema sana.
Yaani mtu anakununia na wewe unakuwa unawaza!!
Akinuna unaachana naye.
Unatoka asubuhi unarudi saa 6 usiku unalala kwa furaha tele.
Hakuna kumuuliza au kumbembeleza
Ndio ndoa hio sio?

Unapungukiwa nini mkiongea?
Mtu mzima ovyooo
 
HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema,

Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani kiufupi tu hata sielewi mwelekeo wa ndoa hii, Tulikutana nae tukachukuana nae Tukaamua kuishi pamoja hadi Sasa Tuna watoto wawili, lakini sijamtolea mahali, lakini sio kwamba sina uwezo wa kutoa mahali ila kinachonichelewesha ni aina ya maisha ambayo tunaishi nae, Yaani siku za furaha ni za kuhesebakika kuliko siku za kununiana, ana vijisababu visivyokuwa na mashiko anajinunisha, Mara utastuka usiku unamkuta MTU amekaa kitandani analia bila sababu, Mara atoke akae jikoni usiku, Mara ajidai amepandisha presha nianze kumpepea usiku yaani ni mateso bila ya kifo, Kimaisha siko vibaya ninamtimizia kila hitaji pia ninakaa kwangu sijapanga na Mimi ni MTU wa kutoka asububi narudi jioni kutokana na aina ya harakati zangu zinazoniweka mjini, Sasa kulitokea kasumba Kikitokea kimgogoro kidogo ananinyima unyumba, hadi inafkia mda unazuka ugomvi ndo napewa huwa nawaza namna ya kuachana nae, ila nawaonea huruma sana wanangu, pia hata yy namuonea huruma, maana nishamzalisha watoto Wawili wote alafu nimuache huwa kimsingi naishi nae kwa sababu ya huruma, pia kwa sababu ya kuwaonea huruma wanangu nilitamani wanangu walelewe na wazazi wao ila mwelekeo wa Maisha haya sijajua hatima,

Tangu mwezi wa Pili kuna shida ilitokea nikawa nanyimwa unyumba hadi ikafikia hatua nikakosa namna ikabidi nianzishe uhusiano na mtu mwingine ila kibaya nilianzisha kama njia ya kumaliza haja zangu nikirudi nyumbani najilalia zangu maana sikutaka ugomvi wa kutaka mbususu kwa wife ila kibaya naona nimezama mazima yani huyu mtoto anajua kucare, anajali kiufupi ninapata kila kitu ambacho nilikuwa nakosa awali, lakini kibaya zaidi na bahati mbaya kwa sasa huyu Mtoto ana ujauzito wangu, hapa nipo njia panda, Kusema kweli ingekuwa uwezo wngu ningemuoa huyu mtoto maana kimsingi mke ninaekaa nae ameshindwa kutambua thaman yangu, lakini kila likija swala la wanangu huwa naishiwa nguvu maana siwezi kuruhusu wanangu kukaa mbali na Mimi pia sina imani kama mwanamke huyu ataishi na wanangu vizuri mda ambao Mimi sipo, kusema kweli najikuta naishi katika majuto niliingiaje 18 za huyu mwanamke! Na ni namna gani nitaepuka hili!

Pia kuhusu suala ya yeye Pengine ana mahusiano mengine siwezi jua na huwa sina asili ya kifuatilia maisha yake maana nipo bize sana na pia huwa sitaki kabisa kufanya kumfuatilia maana matokeo ya kumfuatilia MTU siku zote hayawi mazuri,

Kibaya zaidi ni kuwa jamii tunayoishi nayo inatuona tuko vzuri maana mchana tunaigiziana ila ikifika usiku hakuna MTU anamsogelea mwenzie.

USHAURI WENU MHIMU.
Mkuu kaza tu Bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemfahamu,kuwa na mtoto nje sio ishu ila kaza tu na huyo wa ndani.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Sio kwel nadhan ndio maisha yake yaani she is too childish ikitokea akakwazika anampigia mama yake wanaanza kulia kweny sim yaani wananikera hadi nataman nimwambie akalilie nje ila huwa nahofia jamii itanichukulia kama Mimi ndio mkorofi but ukifuatilia chanzo unagundua kuwa alikuwa amekosea yy ila ukimwelekeza tayari anaamini ameonewa
Ukimuuliza shida ni nini anasemaje?

Watu sio crazy jmn kuna sababu
 
Ulimpenda huyo mwanamke mkuu. Mpaka kuzaa watoto wawili na kuishi pamoja kulishakuwa na upendo baina yenu. Wanasemaga miaka Kumi ya mwanzo ya ndoa ni determinant nzuri ya ndoa.

Ndipo foundation nzuri ilipo. Unless siku zote ulikua unamtamani which is not possible...tamaa Ina kikomo. Tamaa lasts for 90 days tu kwa mwanaume.

Ukweli uliopo ni kwamba hisia za mapenzi kwake zimekufa. Haya ni madhaifu basic sana kwa mwanamke yeyote yule. Ni mambo ya kurekebisha a kama familia na kuchukuliana.

Mkuu si kwamba na wewe Huna weaknesses. Hata huyo ulomtundika mimba nae anayo madhaifu tena makubwa. Siku zote tunaanza kuyaona mazuri, mabaya hujificha. Na tunahisi tukiona Yale mazuri ndo upendo wenyewe.

Bila kujua mazuri na mabaya yote yamejumuishwa kwenye upendo. Tafakari sana mustakabali wako. Kila ukikutana na madhaifu ya wanawakew utakuwa unawaacha?? Jenga familia. Oa official huyo..weka ndani mjenge ndoa yenu wenyewe.

Hizo bed of roses uzionazo huko nje...hiiii (in magu'z voice) zitakucost.

#niushaurituwawezabebaauukaachavilevile#
 
Ndio nilivyokutana nae, nimezaa nae watoto but after nikaja kugundua ana mtoto mwingine mkubwa tu kiufupi napitia mengi sijataka kuyaweka hapa ila linapokuja suala la Mimi kulaumiwa kumzalisha inabidi niweke sawa kuwa huyu mwanamke kwanza alinidanganya umri wake kipindi tunakutana imagine Mimi Nina 33 years ila yy ana 38 years na mtoto wake wa kwanza yupo chuo sasa na huwa ananiomba hela amtumie mwanae na ninamla imagine how kindly iam!
Basi we ni mwanaume na nusu mkuu[emoji119][emoji119]

Sasa si ungefunguka hivi upate maushauri ya maana mkuu..

Sasa sikilizia..

Huyo mwanamke ni kimeo kujifanya we ndo umemtoa usichana kumbe ni gurunembe la mjini na hapo ashukuru umemuokota, sasa hizo drama anazokufanyia ni za nini limama likubwa hivo?

Tambua thamani yako mkuu, we umemuheshimisha afuu analeta drama za kitoto, mtu ana mtoto yuko chuo kikuu[emoji849][emoji849]

Huyu asipojirekebisha piga chini Lea watoto wako tafuta binti toa mahari oa!

Ulipobugi ni kumtwisha mimba huyu mchepuko wa sasa hivi, huyo ni kimeo anacare sasa hivi ili umuoe yy ila hapo hamna kitu...tafuta mwanamke mpya ( ila nasisitiza asipojirekebisha huyu wa ndani maana watoto nao ni ishu[emoji848])

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema,

Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani kiufupi tu hata sielewi mwelekeo wa ndoa hii, Tulikutana nae tukachukuana nae Tukaamua kuishi pamoja hadi Sasa Tuna watoto wawili, lakini sijamtolea mahali, lakini sio kwamba sina uwezo wa kutoa mahali ila kinachonichelewesha ni aina ya maisha ambayo tunaishi nae, Yaani siku za furaha ni za kuhesebakika kuliko siku za kununiana, ana vijisababu visivyokuwa na mashiko anajinunisha, Mara utastuka usiku unamkuta MTU amekaa kitandani analia bila sababu, Mara atoke akae jikoni usiku, Mara ajidai amepandisha presha nianze kumpepea usiku yaani ni mateso bila ya kifo, Kimaisha siko vibaya ninamtimizia kila hitaji pia ninakaa kwangu sijapanga na Mimi ni MTU wa kutoka asububi narudi jioni kutokana na aina ya harakati zangu zinazoniweka mjini, Sasa kulitokea kasumba Kikitokea kimgogoro kidogo ananinyima unyumba, hadi inafkia mda unazuka ugomvi ndo napewa huwa nawaza namna ya kuachana nae, ila nawaonea huruma sana wanangu, pia hata yy namuonea huruma, maana nishamzalisha watoto Wawili wote alafu nimuache huwa kimsingi naishi nae kwa sababu ya huruma, pia kwa sababu ya kuwaonea huruma wanangu nilitamani wanangu walelewe na wazazi wao ila mwelekeo wa Maisha haya sijajua hatima,

Tangu mwezi wa Pili kuna shida ilitokea nikawa nanyimwa unyumba hadi ikafikia hatua nikakosa namna ikabidi nianzishe uhusiano na mtu mwingine ila kibaya nilianzisha kama njia ya kumaliza haja zangu nikirudi nyumbani najilalia zangu maana sikutaka ugomvi wa kutaka mbususu kwa wife ila kibaya naona nimezama mazima yani huyu mtoto anajua kucare, anajali kiufupi ninapata kila kitu ambacho nilikuwa nakosa awali, lakini kibaya zaidi na bahati mbaya kwa sasa huyu Mtoto ana ujauzito wangu, hapa nipo njia panda, Kusema kweli ingekuwa uwezo wngu ningemuoa huyu mtoto maana kimsingi mke ninaekaa nae ameshindwa kutambua thaman yangu, lakini kila likija swala la wanangu huwa naishiwa nguvu maana siwezi kuruhusu wanangu kukaa mbali na Mimi pia sina imani kama mwanamke huyu ataishi na wanangu vizuri mda ambao Mimi sipo, kusema kweli najikuta naishi katika majuto niliingiaje 18 za huyu mwanamke! Na ni namna gani nitaepuka hili!

Pia kuhusu suala ya yeye Pengine ana mahusiano mengine siwezi jua na huwa sina asili ya kifuatilia maisha yake maana nipo bize sana na pia huwa sitaki kabisa kufanya kumfuatilia maana matokeo ya kumfuatilia MTU siku zote hayawi mazuri,

Kibaya zaidi ni kuwa jamii tunayoishi nayo inatuona tuko vzuri maana mchana tunaigiziana ila ikifika usiku hakuna MTU anamsogelea mwenzie.

USHAURI WENU MHIMU.
Narudi kutoa ushauri.
 
Back
Top Bottom