Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Mkuu pole Sana Sina Ushauri Ila nadhan kosa ulilifanya kwa kuanzisha mahusiano nje ukidhan unasolve tatizo

Je ushawasharikisha wazaz au washenga ? Au mtu wa kiroho sheikh padri au mchungaji?

Ukijibu haya ntatoa Ushauri
Mkuu, haya mambo ya mahusiano hua sio swa kuwashirikisha wazazi kwasababu zaidi ya yote mnawaongezea stress wazazi wako na unawatia sumu wazazi wa mwenzio
 
Acha makasiriko usikute unakaa kwa shangazi yako nothing you know about this ukiona MTU hawez kuongea basi ujue hata huko kuongea hana uhitaji wake pia
Haya endeleeni na ukimya
Na endelea kuchepuka
Na usimuoe
Mlete mama wa kambo huyo mtelekeze
Afu ndo utajua rangi za dunia vizuri

Hamna kitu i respect kama kuwasiliana ndani..na hamna kitu kinaleta raha km kuongea na mwenzako...ni kazi ila mnajifunza

Na sijui km kuna kitu kinakera km mwanaume asiyeongea na changamoto ipo ndani.,
Eti uondoke alfajiri urudi sa 6!!ndo solution?ndo mana hadi unyumba unakatika

Unapungukiwa nini kumwambia njoo mpenzi tuongee shida nini tell me A to Z..hapo lazima muishie na showw..na kusameheana juu
endeleeni kununa
 
Duuh ila kumbe mwanamke ana mambo huyu kama mleta mada anasema ukweli[emoji849]

kudanganywa kuwa na mtoto na umri sio la kitoto hili[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu yapo mengi sana ila kuna vitu nimeona as mwanaume nisimweke hadharani ila matukio yake ni mengi na yanatisha sana hapo nimeandika ili kusitiri na sijataka kuandika yote ila kusema kweli huyu mwenzangu ananitisha but najitahid sana kukaa nae with a hope atabadilika ila huku nikofikia sasa naona yanakuwa mazito zaidi
 
Vumilia tu umuache umwachie nani gari lako likipata ajari baadhi ya vyuma kupinda pereka garage ipone maisha yaendelee na matatizo hayakimbiwi yanatatuliwa shenzi kabisa [emoji23]
 
Hivi kwanza kwanini mnaendlea kuoa wakati tulisha kubaliana nini cha kufanya..!!🤔😎
 
Alafu wejamaa nilikuona unapiga kelele ile siku ya kikao tulicho kifanya hapa ndani, tena nilikua nakuona unavyo jidai hausikilizi mambo ya msingi...😎
 
Back
Top Bottom